Chadema kuna wanasheria wabobezi hivyo ni " chimbo" salama kwa watuhumiwa wa ufisadi!

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,641
Likes
11,455
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,641 11,455 280
Wakati huu ambapo CCM inazaliwa upya, ni wazi kabisa kwamba mafisadi na wale wote wenye tuhuma za kifisadi watakikimbia au kukihama chama. Sehemu pekee inayowahakikishia usalama wao ni Chadema na hii inatokana na ukweli kwamba chama hicho kimesheheni wanasheria wabobezi ambao wakiamua kukusafisha lazima usafishike. Hata hii misukosuko inayomkuta Zitto mwisho wa siku utasikia ameimarisha mahusiano yake na chadema. Itoshe tu kusema si wote waendao Ufipa wanafuata itikadi la hasha, wengine wanatafuta chimbo la kisheria wakiamini ukijichimbia mle chamani basi wewe uko salama " kiutetezi"..... Nawasilisha!!
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,641
Likes
11,455
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,641 11,455 280
Wanasheria wabobezi CHADEMA ni akina nani? Si huwa mnasema CHADEMA hakuna wenye uwezo wowote Mkuu?
Wewe ni mmoja wao mkuu, wakili msomi, huku Lumumba tumejaliwa kuwapata kina le mutuz watetezi wa mitandaoni!
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
11,769
Likes
7,811
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
11,769 7,811 280
Kwanza elewa kuwa hakuna mwanasheria wa bure. Atalipia je ofisi yake? Sasa; Kila mwanasheria hufungua milango kwa yeyote yule mwenye senti zake.
Huoni kuwa utakuwa unawapaisha sana hao wanasheria wako wabobevu uliowaona huko CDM kuwa hawanaga hiana wala uchu wa fedha kwa wateja wao?? Huoni kwamba unawapa sifa wasostahili hao unao waita ati Wabobevu kuwa wapo CDM tu na CCM hata huyo AG si lolote kisheria??
Fikiri kidogo kabla hujatuma ujumbe wako
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,641
Likes
11,455
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,641 11,455 280
Kwanza elewa kuwa hakuna mwanasheria wa bure. Atalipia je ofisi yake? Sasa; Kila mwanasheria hufungua milango kwa yeyote yule mwenye senti zake.
Huoni kuwa utakuwa unawapaisha sana hao wanasheria wako wabobevu uliowaona huko CDM kuwa hawanaga hiana wala uchu wa fedha kwa wateja wao?? Huoni kwamba unawapa sifa wasostahili hao unao waita ati Wabobevu kuwa wapo CDM tu na CCM hata huyo AG si lolote kisheria??
Fikiri kidogo kabla hujatuma ujumbe wako
Sasa AG atatetea mafisadi?!!!!! Hapo tu umeshanichosha.
 
machomanne

machomanne

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Messages
632
Likes
514
Points
180
Age
62
machomanne

machomanne

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2017
632 514 180
Kwani Mwanasheria mkuu wa Serikali anatokea Chadema?,Hao unaowaita wabobezi katika sheria hawawezi kumtetea Mtu aliye na makosa yaliyo dhahiri kisheria. Wanaowatetea ni wale waliotumiwa kama Ngazi au vijiko kwa ajili ya wengine.
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,641
Likes
11,455
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,641 11,455 280
Kwani Mwanasheria mkuu wa Serikali anatokea Chadema?,Hao unaowaita wabobezi katika sheria hawawezi kumtetea Mtu aliye na makosa yaliyo dhahiri kisheria. Wanaowatetea ni wale waliotumiwa kama Ngazi au vijiko kwa ajili ya wengine.
Ndio maana nimetumia neno " watuhumiwa"
 
T

The Elephant

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
3,128
Likes
1,816
Points
280
T

The Elephant

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
3,128 1,816 280
Wakati huu ambapo CCM inazaliwa upya
Huwa mnazaliwa vipande vipande? kwa sababu kila mkishakutwa na dhoruba la kukimbiwa mnasema mnazaliwa upya, hamuishiwi kuzaliwa?
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,641
Likes
11,455
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,641 11,455 280
Huwa mnazaliwa vipande vipande? kwa sababu kila mkishakutwa na dhoruba la kukimbiwa mnasema mnazaliwa upya, hamuishiwi kuzaliwa?
Wewe huoni hata kwa macho tu kuwa CCM inazaliwa upya!!
 
Forum statistics

Threads 1,236,923
Members 475,327
Posts 29,272,931