Wananchiiiiiiiii.........
Hivi mnajua kwa asilimia kubwa za wanawake wanaojishughulisha na michezo ya fedha na upatu wanakuwa
●Hawapendi tendo la ndoa
●Wanakuwa na upuuzaji wa wenzi wao
●Wanakuwa watumwa wa madeni mitaani na kwenye taasisi
●Wengi wanaanza "Umalaya" ili kukidhi marejesho...
Unajua mwanaume kuna namna anapenda kuwa treated? Na hata akiwa anamsaidia mkewe kazi huwa kuna namna anapenda achukuliwe,mbaya zaidi wanawake wakihisi wanasaidiwa wanazoea na anaweza hata kukutuma
Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri.
Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau...
Ndugu yangu wewe ni mzazi na watoto wako wote 6 wapo Mwalimu Nyerere.Ongea na hao watoto wako 6,wamekudanganya kwamba wanaonewa ilhali wamefanya makosa dhahiri.Kama kweli wamehusika sheria itasema.Sheria,taratibu na kanuni haziangalii hata kama umebakiza mwezi mmoja kuhitimu.Nenda Chuo wasiliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.