Recent content by mwakichi

  1. mwakichi

    Mungiki watinga mjini! Makabiliano makali yaibuka..

    My kenyans friends, dont afraid of this people called Mungiki, em wekeni strategies za kufight nao, Luos wacheni ujinga...vijana nendeni mteke petrol stations, tengenezeni bomu za chupa..Vijana kama 100 with bombs hawawezi kuwapata, chukueni bunduki zao...no retreat no surrender, life is not...
  2. mwakichi

    Maraga asajili kesi ya dharula dhidi ya uchaguzi, Raila awa mpole ghafla...kunanii

    Commisioner wa Tume kasema kwa hali ya sasa kuna pande mbili ndani ya tume, uchaguzi hauwezi kua huru na haki, what do you think pal?
  3. mwakichi

    HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    Hata kama wakiweka rate kua 0.0% bado hatutaweza kukopesha kwa namna ambavyo raia wanaona.. katika kukupa kuna mambo mengi ambayo tunaangalia lkn kikubwa ni credit risk..Kwa uchumi huu ambao credit risk ni zaidi ya 80% wala usitege pesa kutoka benki.. uchumi haukopesheki w
  4. mwakichi

    Gari aina ya Mazda

    Mazda Antezza!! Binafsi Nimetumia Mazda Kwa Miaka Minne, na katika kipindi chote sijawahi kupata tatizo lolote. Ni gari Ngumu, Ila lazima uweze kuitunza katika kununua spea ambazo ni bei mkasi,Bei ya spea iko juu kwa sababu 1. Ni Original kbsa 2.Supplier ni Wachache. Bora Mazda Mara 100 kuliko...
  5. mwakichi

    Gari aina ya Mazda

    Mazda zipo nyingi sana mkuu..unaongelea aina gan?
  6. mwakichi

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    bold...sijaona kabisa mwendelezo wa 5 na kuendelea....ziko maeneo gan?
  7. mwakichi

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Habari ya Mchana Ndugu Zangu, Kwa Wale walio na Imani ya kikristu katika dhehebu mama la romani catholic watakua wanaelewa maana ya njia ya msalaba, lakini kwa wengine kipindi hiki ni kipindi cha mfungo na toba kwa ajili ya kukumbuka mateso ya bwana wetu Yesu kristu, mateso aliyopata kwa ajili...
  8. mwakichi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Mwigulu come on, Maisha ya kutumiwa ni uoga!! Huyu Makonda hawezi kua Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo,Bado ni Mkuu wa Mkoa.. Lazima Ujitofautishe na aina ya hawa watu, Nchi inapitia mambo magumu na katika kipindi kama hiki ndipo ambapo...
  9. mwakichi

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Mkuu hapa Nape ndo kacheza kama Pelle, hichi ndo sahihi katika mantiki ya kwamba Yeye kama waziri mwenye dhamana alitenda yale yaliyopasa kutendwa, na Mkuu wake wa kazi kamfuta kazi kwa kile ambacho ni sahihi... Angejiuzulu sana angekua kakurupuka sana
  10. mwakichi

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Hata mafuta au nauli katumia yake, ubarikiwe sana mkuu
  11. mwakichi

    More than serious nahitaji mume wandugu

    nlitaka nipitamo lakin naona kuna laana hapa....khaaaa
  12. mwakichi

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    umeenda kuhakiki jina lako central..polish poshti
  13. mwakichi

    Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

    Binafsi naona kile ambacho sisi kama watanzania tunatakiwa kufanya...tusisite na wala tusichelewe sana.. leo faru john kawa maarufu kuliko miili ya watu waliouliwa na kutupwa mtoni.
Back
Top Bottom