Amini Amini nakuambia, Ni suala la muda tu. Msigwa anarudi CHADEMA.
Alichokifanya ni kama kuachana na mwenza wako halafu ukawahi kuoa au kuolewa na mwingine yeyote ili kumkomoa ex wako ili hali unajua kabisa mapenzi yako yapo kwa uliyemuacha.
Wapo wanapatikana mkuu. Kwa faida ya wengi mpigie huyu jamaa anaitwa Mrema, 0719344455.
Huyo habahatishi kazi yake.
Instagram anatumia "mrema_brands_mapaa". Ni mmoja kati ya mafundi nimekutana nao hawana hadithi.
Kabisa mkuu. Yaani wakikaa vijiweni unaweza usifanye jambo lako kwa kukatishwa tamaa nao. Halafu huwa wanatoa fact za kuambiana vijiweni. Mafundi maiko ni noma sana.
Binafsi najiweka rehani kwa anayehitaji fundi mzuri wa contemporary house. Anafanya kazi kwa weredi sana.
Kwa Lugha nyepesi kabisa na hili liweze kufahamika kwamba kwa namna yoyote ile utawala wa chama kile umefika ukomo, kwani hata huyu angekuwa kiongozi wa nchi, saizi taifa lingekuwa kwenye maombolezo.
Hizi ni ishara tu na kama kutakuwa kuna kulazimisha kubaki katika utawala baada ya miaka 40 ya...
Kwa nini wazazi wakatae heshima kubwa kama hiyo?
Kuna jambo moja unaweza lifanya kama kweli una hakika na mchumba wako. Ni gumu ila litatengeneza njia. Kaeni chini mukubaliane, beba mimba yake na nyumbani ukiulizwa sema ni ya huyo jamaa walemuona maskini.
Baba ataitisha kikao cha kwanza cha...
Mkuu sijajua umeandika ukiwa na mtizamo gani. Binafsi nazungumza kwenye spiritual angle. Ulichokiandika NDICHO KILICHOPO.
Huko aliko ni namna ya yeye kuendelea kusukwa. Hajafa Hajawa Rais wa Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.