Recent content by mwaki pesile

  1. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Muongo wa Hatua za Kuimarisha Usalama Barabarani 2021 - 2030

    Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030. Utangulizi Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
  2. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Unaishi vipi na jirani anayependa dezo na kuombaomba?

    kuna baadhi kuombaomba ni kama jadi yao.hata huku makazini ipo sana hiyo tabia
  3. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

    zito akiwa na shonza akakoswa ikenda kwa muuza magazeti
  4. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Uarabu na Uislamu ni vitu viwili tofauti

    sema wewe ndio ulikuwa ulidhani hivyo
  5. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    je kwanini kila aonyeshaye nia ya kuuhitaji uenyekiti hutimuliwa?
  6. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    NYERERE church MWINYI islam BWM church JK islam JPM church ___ wakichaguliwa islam udogo unatoka wapi. ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
  7. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sehemu za mwili wa binadamu zenye kasoro kiuumbaji

    umba chako TUONE
  8. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

    mapepo yalikuwepo kabla ya ADAM hajaumbwa
  9. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    sasa ikiwa mama na mwana wamegeuza papuchii kama kitega uchumi unadhani mmakonde kakosea. kwenye screenshot inaonyesha walikuwa na mahusiano muda mrefu je MAMA KAANZA KABLA YA MTOTO AMA MTOTO ALIANZA KABLA YA MAMA?
  10. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Msanii Lyyn anavyomlilia Mbwa

    si wanawatumia kwa starehe. popi wanapigishwa DEKI
  11. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Hilux na Nissan Hardbody

    kwa vigezo vyako hapo ni NISSAN
  12. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    mwizi hata umlipaje ataiba tu
  13. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Mwendazake ni marehemu

    daladala zote ni MATATU
Back
Top Bottom