Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,593
- 25,712
Umechanganya ila nimekuelewa Nissan hard body single au double cabin zinaanzia rand 60,000 mpaka laki moja zidisha Mara 160 ndio rate ya rand ya juu ingawaje sasa hivi ipo 155 maana wakifungua mipaka itapanda...Kuna bei ya mm kununua na kuileta Tz na bei ya wewe kununua hapa kutuma hela kwenye kampuni baada ya mm kuchagua gari ikilipwa ni kuchukua kufanya service ndogo na kuileta hadi tunduma na pia unaweza kuja mwenyewe Mimi unanipa posho tuu ya kusimamia shughuli zote mpaka unaondoka na gari Kama huwezi kuendesha umbali mrefu unapewa dereva unamlipa mpaka Tunduma...Tanzania ni vile mnatishwa kuhusu magari ila wengi tunaoshinda shamba ilitakiwa kuwa na pick up huku zipo Mahindra ni ngumu mno pia hata hizo tata xenon hazina bei kabisa angalia wahindi wanavyozitumia yupo jamaa mmoja wa Moro alifata Mahindra tuliipata hakutaka gari yeyote...na nilipoifatilia nikagundua kweli ni mashine...Mkuu nambie bei ya hiyo Nissan hilux hapo SA nijilipue kwa shughuri zangu za shamba.