Recent content by Mwakatobe wa Mwakato

  1. M

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    hilo utajibiwa siku nyingine mkuu..cha msingi hapa Manji analalamika nchi haimthamini. kwani yeye aliithamini lini labda? Manji anaishi Tanzania ila sina uhakika kama ni Mtanzania
  2. M

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Hakuna Afisa wa TRA atakaeweza tumbua jipu wala kipele boss...usidanganyike, kwa sababu wao walishiriki kwa asilimia 100 kuifikisha nchi ilipo..
  3. M

    Kasi ya Rais Magufuli yafuta likizo TRA

    Issue sio likizo kusogezwa mbele au kufutwa...issue ni lini walioshiriki upotevu wa containers2000 na zaidi watashughulikiwa? Naibu wangu waziri wa fedha na CG Mpango tunaomba utufilisie walioshiriki upotevu wa containers2000 tafadhali, kwa sababu naona kama hili suwala linapotezewa vile
  4. M

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    Msilazimishe kitu kisichokuwepo, Dk. Hosea hakuna aliempitishia memo ni uzembe wake na kukosa uzalendo mwacheni tuu amepata alichokitaka. Hatujamsikia ata siku moja akitema cheche japo kwa kutudanganya, ataweza leo? naomba tuleteeni hoja zilizoshiba...orodhesheni majipu yatumbuliwe...kuna vitu...
  5. M

    Safari yangu jimbo la Morogoro Kusini

    Tena uyo m-bunge mkewe nae anahusika na zile containers 2143kama sijakosea idadi, Masamaki kwa kuona mwenzie anaiba pia akamuhamishia mke wa m-bunge TRA-mwenge..
  6. M

    Masamaki na wenzake watimiza masharti ya dhamana, kuachiwa karibuni

    wale wote wezi tuu..kuna kila sababu ya kurekebishwa hizi sheria zetu haiwezekani muhujumu uchumi anakaa ndani wiki tatu na anapewa dhamana nyepesi ivyo.. Billion 2 ni pesa ambayo Habibu na Masamaki wanaweza kujikusanyia ndani ya wiki moja tuu...tujiulize ni tokea lini wamekua wakijikusanyia...
  7. M

    Masamaki na wenzake watimiza masharti ya dhamana, kuachiwa karibuni

    Sheria zipo mkuu tatizo wasimamizi, hawana mda uko mabenki..ni mara moja moja sana unaweza ukaulizwa kuhusu deposits zako
  8. M

    Ikulu ifafanue: Safari za nje zilizofadhiliwa kwa kila gharama nazo marufuku?

    Mkuu tulia Dsm upige kazi...usije ukatolewa demo. Tena umkumbushe na yule penda penda Dr. Y.K asahau hiyo mambo kwa mwaka huu na ujao, kwani watu wanamfuatilia kwa karibu, yeye kila siku Ulaya kana kwamba wakulima na wafugaji wakitanzania wanaishi Ufaransa.
  9. M

    Manyanya: Mtoto hajui Kusoma, Kuandika na Kuhesabu, Mwalimu Mkuu kazi huna

    Sioni sababu ya kumkosoa Naibu Waziri kwa kiwango hiki.. Tulikua tukiilaumu serikali na wizara ya elimu kwa kushindwa kusimamia elimu kiasi cha mtoto anafika darasa la 7 hajui kusoma wala kuandika, hakuna aliemlaumu mzazi kwa kushindwa kufuatilia maendeleo ya mtoto wake shuleni, leo Naibu...
  10. M

    Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

    Nakuunga mkono mkuu... Nilikua ninasoma sana mwanahalisi..lilikua linanyambua sana kuhusu Luwasa na ufisadi wake Daaah kumbe lilikua haliongei kwa Uzalendo namaslahi ya Watanzania kama nilivyokua nikifikiri. Sasa mtu aliemuamini/anaeamini kinachoongelewa na Kubenea, Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe...
  11. M

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    watendai wapi waliorudishwa jamani? mbona mnatuweka njia panda sie wengine.. tutajie m-bovu alierudishwa.
  12. M

    Prof. Muhongo kama ni speed basi anatumia mtandao wa 4G

    wewe ambae hujui kazi ya Muhongo..tulia uone, na urudi hapa kutuambia after 1year
  13. M

    Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

    :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1: Nilimsikia Dk. Mwakyembe siku chache kabla ya uchaguzi, alikua anaulizwa na muendesha kipindi, KWANINI WASIEMPELEKE LOWASA MAHAKAMANI-KULIKO KUENDELEA KULALAMIKA KUA NI FISADI. IU la Mwakyeme: alisema JINAI haina mwisho
  14. M

    Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Kwa anaefanya biashara zake kiuhalali Mashine za-EFD sio tatizo.. Na anaesema mfumo wa ukataji kodi wa EFD ni tatizo nadhani hajaelewa kuhusu hizo mashine, binafsi tatizo nililo liona ilikua ni mfanya biashara kuikopesha serikali pesa ya kununulia EFD machine. Kwa sababu kiuhalisia ile gharama...
Back
Top Bottom