Magufuli kidedea miezi miwili, Lowasa kidedea miezi kumi 2015.

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Katika mwaka huu wa 2015, wenye miezi 12, jina la Lowasa lilitikisa Tanzania zaidi takribani miezi kumi ya kusaka uraisi, lakini jina la Magufuli limetikisa duniani kwa muda wa miezi miwili baada ya kuwa raisi kwa uchapa kazi wake.
 
nguruwe wa Lumumba bado wapo kwenye kampeni za urais,nchii haitaendelea kwa tabia hii,amka ufanye kazi
 
Kuna watu wao wamezoea kulalamika kiasi kwamba hata ukitaka kuondoa yale yanayowafanya walalamike basi hawaoni tabu kukuzuia kufanya hivyo ili tu wapate nafasi ya kuendelea kulalamika.
 
nguruwe wa Lumumba bado wapo kwenye kampeni za urais,nchii haitaendelea kwa tabia hii,amka ufanye kazi

hapa kazi tu wewe njere. Mlikuwa mnataka kutuletea raisi wa hovyo. Ametafuta uraisi kwa hali na mali ili iweje? Amekosa nenda kamsaidie kulia.
 
Katika mwaka huu wa 2015, wenye miezi 12, jina la Lowasa lilitikisa Tanzania zaidi takribani miezi kumi ya kusaka uraisi, lakini jina la Magufuli limetikisa duniani kwa muda wa miezi miwili baada ya kuwa raisi kwa uchapa kazi wake.

Ndio nini sasa?
Unalinganisha au Unatoa taarifa?
Coz sijaelewa mantinki yako.
 
Eti Magufuli mchapa kazi,nionyeshe moja
Ajabu sana. Kipindupindu hakiishi kwa bile watu bado wanakunywa maji machafu ya madimbwini,ukiacha Muhimbili hospitality zingine zote wagonjwa wanalala chini na wengine wanajifungulia uvunguni,mashuleni hakuna mabadiliko,watumishi bado wanadai halali zao,wakulima na kandarasi wanaoidai serikali iliyowakopa bado wanapigwa story. Hebu niachie hapo kwanza.
Sasa hivi kufukuzana kazi kwa style ya kutumbua majipu ndio maendeleo tunayo yasifia? Mtu aliyeko kule Nanjilinji akiambiwa ma CEO wote wamefukuzwa kazi lakini akimpeleka mtoto zahanati ya kijiji na hakuna dawa ataelewa?
Mkuu hawa jamaa watoa sifa lazima wawe wanachuja sifa zao na kuacha kashfa.
Wako kama makahaba,hata uwe na mapenzi naye vipi na unampa laki,akija mwingine na kumbeba tuu kwenye BMW siku moja anaweza kukudharau na kebehi kibao kwa lift ya siku moja.
 
nchi ya masengerema,Mimi nafukuza ambao hawakuwa upande wangu yenyewe yanashangiliaaaaa.ukiuliza sembe imeshuka bei hapana,sukari,Mchele,umeme,mafuta bei inazid kupaa halafu eti oooh nachapa kazi,so stupid
 
Back
Top Bottom