Recent content by MWAKALASYA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nissan X-Trail mpya

    Natamani kumiliki Xtrail AXIS, kwa bajeti ya 11mil naweza kupata?
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Nadhani ungeshangaa zaidi mtu unapotaka kuoa kwa maslahi yako na umejiandaa vyema lakni bado unachangisha marafiki. Kuchangishana ni dhana ya kuonesha kuwa tuko pamoja. Siyo kipimo cha kutomudu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    Haziingiliwi vipi wakati siku hizi ni mambo ya "agizo kutoka juu"
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

    Mungu ana ratiba ya kila nafsi. Utajiri haumfanyi binadamu aishi miaka mingi
  5. M

    JamiiForums Tanzania What's your favorite Movie Line or Quote?

    I know someone who knows someone. Blacklist
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Kwahiyo kaenda kusemelea kwenye chama?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Mipango ya Mungu umeiweka kando?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usalama daraja la Mkapa wako wapi?

    Habari wanajamvi! Nimepita mara mbili kwenye daraja la Mkapa linalounganisha jiji la Dar es Salaam na mikoa ya kusini na kukuta hakuna askari upande wowote wa daraja. Vibanda vilivyojengwa kwa ajili ya askari kukaa vimefungwa na makufuli kabisa. Jeshi la polisi lisifanye masihara na hivi vitu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania President Mugabe in comma?

    "Doctors at the hospital where Robert Mugabe is being treated have told his family to expect the worst." Is it possible kwa madakatari kusema kauli kama hii?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Tunakoelekea utahoji matumizi ya mshahara wa mbunge. Mbunge kazi yake ni kupaza sauti za wananchi wa jimbo na kusimamia kuhakikisha zinatekelezwa. Tukianza kuwapima kwa matumizi ya hela yao binafsi tunakuwa tunapoteza uelekeo. Pia kumbuka hiyo hela ni mkopo which means kama hujazalisha inakuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwa wenye Iphone app gani nzuri kudownload movie?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Scorpion 24 The 100 Tyrant Homeland Under the Dome Person of interest Fringe Prison Break ........... To mention a few
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Fidel Alejandro Castro Ruz

  14. M

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa Magufuli kagomea muhimbili

    Hivi ndiye huyu wa kwenye handaki? Sasa atatokaje kirahisi rahisi wakati hata sehemu ya kulala ya uhakika hana?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Suleiman Kova astaafu rasmi Jeshi la Polisi Tanzania!

    There is something behind....kwanini kustaafu kwake kuende sambamba na taarifa za watoto wake kuhusika kwenye matumizi mabaya ya ofisi?
Back
Top Bottom