Mgonjwa wa Magufuli kagomea muhimbili

Mgonjwa wa Magufuli kagomea muhimbili

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,464
Muda si mrefu nimesikia yule mgonjwa aliyesaidiwa na Mh: Rais matibabu kama mtakumbuka aliongea nae na akatoa pesa yake kwa ajili ya matibabu ,basi taarifa toka Muhimbili jamaa kishatibiwa amepona ila kagoma kutoka hospital anataka aendelee kupiga shavu tu pale.

Na pia jamaa kipindi yuko pale anatibiwa akaanza kuwadanganya yeye mtu wa usalama wa taifa na yuko pale pale kwa kazi maalum.

Nimemsikia msemaji wa hospitali anasema sasa wanataka wampime vipimo vya akili huenda wanamlaumu bure

Chanzo: Magic fm
 
Last edited by a moderator:
Muda simrefu nimesikia yule mgonjwa aliyesaidiwa na Mh: Rais matibabu kama mtakumbuka aliongea nae na akatoa pesa yake kwa ajili ya matibabu ,basi taarifa toka muhimbili jamaa kishatibiwa amepona ila kagoma kutoka hospital anataka aendelee kupiga shavu tu pale,
na pia jamaa kipindi yuko pale anatibiwa akaanza kuwadanganya yeye mtu wa usalama wa taifa na yuko pale pale kwa kazi maalum,
nimemsikia msemaji wa hospital anasema sasa wanataka wampime vipimo vya akili huenda wanamlaumu bure

source Magic fm
Akipewa nn? Akipata vyakula toka ikulu au?
 
Mmhhh!
Jana alisema eti wamemnyima kitanda kwakuwa aliwasemea kwa rais
Halafu yule jamaa alikaa sana kwenye handaki pale mlimani ingefaa achunguzwe afanyiwe ushauri nasaha wa kisaikolojia.
Maisha yake yako na utata mwingi sana
 
Kumbe huyu jamaa ndio wahandaki pale chuo kikuu, sikujua
 
Mmhhh!
Jana alisema eti wamemnyima kitanda kwakuwa aliwasemea kwa rais
Halafu yule jamaa alikaa sana kwenye handaki pale mlimani ingefaa achunguzwe afanyiwe ushauri nasaha wa kisaikolojia.
Maisha yake yako na utata mwingi sana

Hivi ndiye huyu wa kwenye handaki? Sasa atatokaje kirahisi rahisi wakati hata sehemu ya kulala ya uhakika hana?
 
hapo nimekuelewa mkuu ,kama akitoka hapo atakwenda wapi?
 
Nadhani wangempigia Rais ajechukua mtu wake
Si kuna kipindi Magufuli alikuwa akigawa nyumba za mashirika? Ampe moja huyu jamaa
 
Muda simrefu nimesikia yule mgonjwa aliyesaidiwa na Mh: Rais matibabu kama mtakumbuka aliongea nae na akatoa pesa yake kwa ajili ya matibabu ,basi taarifa toka muhimbili jamaa kishatibiwa amepona ila kagoma kutoka hospital anataka aendelee kupiga shavu tu pale,
na pia jamaa kipindi yuko pale anatibiwa akaanza kuwadanganya yeye mtu wa usalama wa taifa na yuko pale pale kwa kazi maalum,
nimemsikia msemaji wa hospital anasema sasa wanataka wampime vipimo vya akili huenda wanamlaumu bure

source Magic fm
Vipi ni yule jamaa wa kwenye mahandaki ya pale karibu na mlimani city...?
kama ni huyo wampime akili fasta maana anabaki kucheza na mind za watu wakati
watu wako kazini.
 
Muda simrefu nimesikia yule mgonjwa aliyesaidiwa na Mh: Rais matibabu kama mtakumbuka aliongea nae na akatoa pesa yake kwa ajili ya matibabu ,basi taarifa toka muhimbili jamaa kishatibiwa amepona ila kagoma kutoka hospital anataka aendelee kupiga shavu tu pale,
na pia jamaa kipindi yuko pale anatibiwa akaanza kuwadanganya yeye mtu wa usalama wa taifa na yuko pale pale kwa kazi maalum,
nimemsikia msemaji wa hospital anasema sasa wanataka wampime vipimo vya akili huenda wanamlaumu bure

source Magic fm

  1. Magufuli hakumlipia, ila alitaka kumlipia ndipo afisa aliyekuwa ameongozana na Magufuli akasema hospital itafanya utaratibu wa kushughulikia swala la mgonjwa huyo
  2. Nadhani hivyo vipimo wangeanza na yeye kwanini anatoa taarifa za mgonjwa tofauti na utaratibu wa utoaji habari? "nimemsikia msemaji wa hospital anasema sasa wanataka wampime vipimo vya akili huenda wanamlaumu bure"
 
Yaani madokta muda wote hawaku ng'amua hilo?
 
Duu yawezekana dish limeyumba, Kwan afsa usalama anajitangaza pind akiwa kwenye kazi maaluum
 
Tusimlaumu huyu jamaa kwasababu wabongo wote akili zetu ni sawa na huyo na wengine hata zaid. Kwani ni uongo??!!!
 
Unaweza kukuta huyu mgonjwa mengi aliyomueleza Magufuli siku ile si kweli
lakini Magufuli alikasirika na kufukuza watu
kumbe now huyu mgonjwa ana matatizo ya akili...
 
Back
Top Bottom