MWAKALASYA
Member
- Jun 22, 2015
- 46
- 10
Habari wanajamvi!
Nimepita mara mbili kwenye daraja la Mkapa linalounganisha jiji la Dar es Salaam na mikoa ya kusini na kukuta hakuna askari upande wowote wa daraja. Vibanda vilivyojengwa kwa ajili ya askari kukaa vimefungwa na makufuli kabisa. Jeshi la polisi lisifanye masihara na hivi vitu aisee.