Recent content by Mwakabuje Jr.

  1. Mwakabuje Jr.

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Hii nchi haina uongozi eti rais atamshangaa....! shame on u mama! Jiuzulu tu huna jipya
  2. Mwakabuje Jr.

    Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo

    Hata me natafuta ila me ninavyo kama viwili cha power of ur subconcious mind na power of positive thinking kama utahitaji nitumie mail yako
  3. Mwakabuje Jr.

    Kwa nini Rais Kikwete hakumteua prof Shivji kuwa mjumbe kwenye Tume ya Katiba?

    Ni mkweli na anajua nn anafanya hii serikali hawezi kumpenda mtu kama yy
  4. Mwakabuje Jr.

    Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

    Hatari ni kubwa sna katika hii hali maana mimi nina clip moja nimetumiwa na rafiki yangu whatsapp mpaka sasa sijaielewa inamuonyesha kiongozi wa kiisilam mwenye nafasi ya shekh akisema kuwa shekh akiuwawa muisilam akiachoma matairi barabarani au akiandamana ameshinda inatakiwa amkamate Padri...
  5. Mwakabuje Jr.

    Natafuta mume

    Kweli katika mapenzi umri sio tatizo ila mtoa hoja hayo ndio mashariti yake mzee wa tano
  6. Mwakabuje Jr.

    Wanandoa hii imekaaje?mume kuwepo chumba cha kujifungulia mkewe na kushuhudia mambo yote?

    Bado sijaoa ila natamani kuona iyo kitu kwa sababu nakumbuka mara ya kwanza kujua kuwa ilo swala ni gumu kwa mwanamke mwalimu wangu wa biology ndio aliongea na akashauri kuwa inapendeza mume kuwepo ili ajue ni jinsi gani mke anavyopata shida na iyo itaongeza kumjali na kumpenda mke me binafsi...
  7. Mwakabuje Jr.

    Natafuta mume

    All da best nakosa kigezo cha umri
  8. Mwakabuje Jr.

    I was raped at the age of 9 years old

    "Sijasomo elimu ya chuo kikuu ila nashukuru nyumbani kuna degree moja mke wangu ana degree." Eric Shigongo
  9. Mwakabuje Jr.

    Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo

    Lakini kunabaadhi ya vitabu vinakupa hata mistari biblia kama uthibitisho wa wacho kiandika na hata Yesu mwenyewe alisema ukiwa na imani kama chembe ya harabani unaweza kuuamuru mlima ung'oke na ukajitose baharini kwa hiyo kilichopo ni sisi hutuwezi kutumia kile kilicho ndani yetu maana...
  10. Mwakabuje Jr.

    Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo

    Npenda sna vitabu vya namna hiyo big upo bro icho cha the secret sijabahatika kukiona nitajitahidi kukitafuta ila pia ukiwa na muda naamini tutaona na review ya the power of your subconscious mind, success through positive thinking...!
  11. Mwakabuje Jr.

    LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

    Mechi ya leo ni ngumu ila ushindi naamini upo upande wa Arsenal.....Am arsenal till i die.
  12. Mwakabuje Jr.

    CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    Imani yangu imebaki kwa viongozi wa upinzani hususani CMD nyie ndio wakombozi wetu hatuna kimbilio lingine Mungu awe nanyi awape hekima na busara na kufanikisha kila mnalo lipnga tupo nyuma yenu kwa maombi na sala. Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu. Mungu ibariki CDM viongozi wake...
  13. Mwakabuje Jr.

    Umuhimu wa Kutokuwa na CCM Tena

    Nia tunayo sababu tunayo na hata nguvu tunayo tuungane watanzania kwa ujumla wetu kuitoa ccm wala sio kosa tidhama kwa makini utaona ni jinsi gn hawana nia njema nasi 100% naungana na mtoa hoja
  14. Mwakabuje Jr.

    Mhariri wa Tanzania Daima Kuburuzwa Mahakamani

    Tanzania daima inatakiwa muandike habari za kweli na ambazo mna uhakika nazo ila hao viongozi huwa wanatoa ahadi na matamko ya uongo na hakuna hata siku moja wametuomba radhi Tanzania daima ni waungwana kuliko hata hao walioandikwa kama ni kweli maana me sijaona hayo magazeti!
  15. Mwakabuje Jr.

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    Inasikitisha sna ila inatakiwa hawa viongozi wawe makini hii hali sio nzuri waache izo siasa zao...
Back
Top Bottom