Recent content by mwajei

  1. mwajei

    JamiiForums Tanzania Nimpaie Risiti ya EFD

    Hiyo 18% ni VAT utailipa TRA. Usikubaliane naye itakuletea shida kwenye makadirio ya Kodi utaonekana umefanya kazi sana wkt sio kweli.
  2. mwajei

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya kuku aina ya Rainbows kutoka Uganda.

    Unapatikana wapi?
  3. mwajei

    JamiiForums Tanzania Utafiti; Wadada wengi humu ni 'single mothers' na wana 'stress' za kukosa wachumba

    Mungu sio 'mungu' wako uliyemwandika.
  4. mwajei

    JamiiForums Tanzania Utafiti; Wadada wengi humu ni 'single mothers' na wana 'stress' za kukosa wachumba

    Kwani kuwa single mother ni kilema. kuna wanaotafuta usingle mother na wako ndani ya ndoa wanaukosa. mtt ni heshima haijalishi kapatikana maeneo yap. kubali kataa shauri yako.
  5. mwajei

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa baadhi ya vipengele katika hii salary slip

    Habari. Total Company Contribution ni pesa ambayo kampuni inachangia kwenye mapato yako. nadhani hapo ni 10% Anayokuchangia PPF na SDL kutoka kwenye mshahara wako. Total Deduction ni sum ya PAYE na PPF unayokatwa kwenye mshahara wako. Kama nimekosea nadhani kuna wennye uelewa zaidi watadadavua
  6. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    Muogope Mungu ndugu yangu. Unanifahamu mimi? unauhakika na unayoyasema? kama kweli unanifahamu hebu uambie uma mi ni mtu wa aina gani na napatikana wapi na jamaa nilozaa naye ni nani? kabla ya kuropoka uwe na uhakika na maneno yako.
  7. mwajei

    JamiiForums Tanzania Fance wire zinauzwa

    Thanks. nilijua Arusha
  8. mwajei

    JamiiForums Tanzania Fance wire zinauzwa

    Mnapatikana Sehemu gani hapa Tanzania.
  9. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    Kupima nini sasa. wewe kama una stress za kukosa chuo;);), pita hivi. na kama una wasiwasi na afya yako mi sina. Ambao watakuwa na uhitaji kama mimi watanifuata.
  10. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    Hahahahahahahha haya
  11. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    Umeona eeeh
  12. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    hahaha pole we. anaweza onja akabakia hapo hapo.
  13. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    We sema wewe hunioi. lkn washakuja chemba kibao ni mimi tu
  14. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    We utakuwa una msongo wa mawazo. Wapi nimesema urefu wa nnayemtafuta. We kama huna vigezo pita kimya kimya
  15. mwajei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    Picha yangu ndo hiyo kwa profile nilivyokuwa mdogo
Back
Top Bottom