Fance wire zinauzwa

Fance wire zinauzwa

Nahitaji mkuu ila kwanza unitembelee eneo langu lipo kijichi then ndio tuongee
 
Nahitaji mkuu ila kwanza unitembelee eneo langu lipo kijichi then ndio tuongee
Mkuu mi mtengenezaji na muuzaji tu,ila kuweka kwenye kiwanja tafuta Fundi wako Wa Ujenzi...
 
Njoo uone mwenyewe kiwandani jinsi tunavyotengeneza pia materials tunazotumia....tunapatikana Kimara Stop Over pia unaweza kutupata kwa 0715-011022
 
Njoo uone mwenyewe kiwandani jinsi tunavyotengeneza pia materials tunazotumia....tunapatikana Kimara Stop Over pia unaweza kutupata kwa 0715-011022
Mkuu ni miaka kadhaa sasa je hilo zoezi la utengenezaji na uzaji bado unaendelea mpaka leo,nina uhitaji wa fence wire
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom