RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
Duuuuuh Isaya tenaThanks. kwa Ushauri wako. Isaya 7:7
Duuuuuh Isaya tenaThanks. kwa Ushauri wako. Isaya 7:7
Wazee hao Hata JF hawapo.. Nenda Mtaani Utawakuta Kwenye Vijiwe Vya Kahawaahahaaa aya mimi sina mtoto ila nataka mbaba miaka 45 kwenda juu aliechoka maisha kabisa
Habari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
Wasifu Wangu:
Mkristo
Mi ni mnene
Mrefu cm 178
Maji ya kunde
mwajiriwa (Non -Government)

Kama hutaki kuweka picha tutaanzisha kampeini ya kupinga usipate dume wewe dada!Picha ya nini. Ukishaniona ndo itakuwaje sasa.
Picha ya nini. Ukishaniona ndo itakuwaje sasa.
Kama hutaki kuweka picha tutaanzisha kampaini ya kupinga usipate dume wewe dada!



Picha yangu ndo hiyo kwa profile nilivyokuwa mdogo

Kama una nia naye unataka kuoa kipato chake?Kwa mwez unapokea sh ngapi?
Ok
We utakuwa una msongo wa mawazo. Wapi nimesema urefu wa nnayemtafuta. We kama huna vigezo pita kimya kimyaUnatufanya sisi kama mbao za kupaulia nyumba..eti awe na sentimita.......acha hizo we sema unataka mwanaume mrefu....mtu ushazaa halafu unaleta mbwembwe kibao..jioe basi.