korojani
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 231
- 237
Wakuu anayehitaji vifaranga vya kuku aina ya Rainbows kutoka Uganda. Kifaranga cha siku moja ni sh 2,500/- na cha mwezi mmoja ni 6,000/-.
Sifa za Rainbows.
1. Wanaanza kutaga wakiwa na miezi 4
2. Wakiwa na miezi 4 jike huwa na kilo 5 na jogoo kilo 7.
3. Wanataga kati ya mayai 260 hadi 280 kwa mwaka.
4. Unaweza ukawafuga kienyeji.
Sifa za Rainbows.
1. Wanaanza kutaga wakiwa na miezi 4
2. Wakiwa na miezi 4 jike huwa na kilo 5 na jogoo kilo 7.
3. Wanataga kati ya mayai 260 hadi 280 kwa mwaka.
4. Unaweza ukawafuga kienyeji.