Recent content by mwaJ

  1. mwaJ

    Nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa!

    Baada ya campaign ya mama sema na mwanao nikaona kweli ngoja niseme na wanangu. Nikawaita housegirl na kijana wa bustani kujua wao watampigia nani kura bila kupoteza muda kila mmoja akapiga kelele 'Lowasaaaaa!' Nikajisemea kumbe sina kazi ya kusema na wanangu hao.
  2. mwaJ

    Hotuba ya Slaa imepunguza kura zipi kati ya hizi kwa Lowassa?

    Dr. Slaa anajua kabisa siku ya kupiga kura atampigia Lowasa. Lol!
  3. mwaJ

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Licha ya kuvunja sheria hilo tangazo ni la uonevu wa hali ya juu. Linaleta hasira kwa kweli.
  4. mwaJ

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Hilo tangazo ni la kichochezi na uonevu pia. Ni kwamba wanajaribu kuwaaminisha watanzania kuwa zile picha ni ushahidi kuwa Lowasa anatoa zile pesa kununua urais, kitu ambacho si kweli kwani ni mara nyingi tulikuwa tunaona Lowasa akikaribishwa kwenye shughuli mbali mbali za harambee. Siasa...
  5. mwaJ

    Umuhimu wa First Lady mwenye hekima

    Kwa kweli watu hawaelewi wanadai wao ni Lowasa tu hata waambiwe nini wao wameshakata shauri ni Lowasa. Wakati mwingine huwa najiuliza watu wanaona nini kwa Lowasa? Na kwa upande mwingine najiuliza kwanini wanamshambulia Lowasa tu?
  6. mwaJ

    Dr. Slaa mpiganaji aliyesalitiwa

    HERI AMEONGEA TUMEJUA MOJA SIO KILA SIKU WATU KUULIZANA YUKO WAPI ANA ATAIBUKA NA NINI. Asante Dr. Slaa, umekamilisha safari yako acha wengine waendelee. Tatizo umechelewa sana kutoa tamko na kuibuka wakati watu wameshakata shauri. Kapumzike salama.
  7. mwaJ

    Dr. Slaa mpiganaji aliyesalitiwa

    Ghafla Dr. Slaa amekuwa kipenzi cha CCM.
  8. mwaJ

    Nikifa nizikeni Masaki

    Si ukaishi Masaki ya Kisarawe?
  9. mwaJ

    Holiday Greetings, Tuma salaam

    My dear hubby Mwita Maranya na familia yetu kwa ujumla asante sana kwa salamu za upendo na kuwa sehemu ya maisha yangu kwa mwaka 2014.
  10. mwaJ

    Dedication ya Ntuzu na wakeze

    Mwambie ajiunge tu kwenye hiyo colabo.
  11. mwaJ

    Mwanasheria mkuu wa Zanzibar fundisho tosha madaraka ya Rais

    Huyo aliyekuwa AG wa Zanzibar ni shujaa aliyeamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine. Ni wacheche sana ambao wangeweza kufanya alichokifanya kwa kulinda maslahi yao.
  12. mwaJ

    Dedication ya Ntuzu na wakeze

    Kama nini? Malizia tu.
  13. mwaJ

    Maudhi ya mke, funguka

    Heshima kwako mkuu. Comment yako imenibariki.
  14. mwaJ

    Pozi la picha

    Sawa bana, naona umeshapata jina la kutaja tu hata ukiwa usingizini.
Back
Top Bottom