Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Sasa kama RAIS anaburuzwa na first-lady nchi si itatawaliwa ne first-lady bora MUNGU ametuepushia hili dubwana.
Hahahaha umeni chekesha sanaa mkuu. Daah
Sasa kama RAIS anaburuzwa na first-lady nchi si itatawaliwa ne first-lady bora MUNGU ametuepushia hili dubwana.
"..Nilikua nashindia mihogo... hata nyumba
nayoishi nimejengewa na Mwenyekiti.."
Calculation,
1. Mihogo 250/= × 2 x 3 = 1500/= per day,
(tamka "buku jero")
2. 1500/= × 365 days = 547,500/= a year. TOTAL
547,500/=
Press Conference,
1. TV (live coverage) 25 mil × 3hrs × 3Chanels =
225 mil.
2. Radio (Live coverage) 2 mil x 3 hrs × 10 = 60
mil.
3. Newspapers 5 mili (Lampsum).
TOTAL 290 Mil [tamka "milioni mia mbili na
tisini"]
Huyo ndiye mtu aliyekuwa akishindia mihogo.
Unashindia mihogo ya buku jero kwa siku, then
unachoma almost 300 Mil. in three hours, na
unapata ujasiri wa kuwaita wenzio Mafisadi.
Duuuh # Shikamoo_mihogo .!
Mwanaume anayekosa sauti mbele ya mchumba/kimada wake ni hatari sana.
Sasa ingekuwa vipi kwenye kusaini mikataba minono yenye kuwaneemesha wachache? First lady si angetumika kumtisha mzee asaini?
Mungu ni mwema, anatupenda Watanzania ndio maana katuletea mtu sahihi na kwa wakati sahihi Edward Ngoyai Lowassa.
Hivyo nasi hatuna budi kumchagua yeye.

Mumewachokoza wenyewe. Jana jioni niliamua kwenda kunywa kwenye grocery za uswazi, watu wamelipuka hatari. Mwenye grocery ni mjumbe S/M kupitia CCM naye kachachamaa vibaya sana. Wamesema wao ni Lowassa tu
Mwanaume anayekosa sauti mbele ya mchumba/kimada wake ni hatari sana.
Sasa ingekuwa vipi kwenye kusaini mikataba minono yenye kuwaneemesha wachache? First lady si angetumika kumtisha mzee asaini?
Mungu ni mwema, anatupenda Watanzania ndio maana katuletea mtu sahihi na kwa wakati sahihi Edward Ngoyai Lowassa.
Hivyo nasi hatuna budi kumchagua yeye.
Asante sana mkuu, usijali...nimefarijika kusikia hivi.Dada umeolewa? Uko vizuri na umefafanua vizuri sana naomba nikupende bure tu! Twende na Lowassa maana mafuguli naye fisadi wa kutupwa aligawa nyumba za serikali kwa mtoto wake anayenyonya na kwa kimada wake huku akiwaacha solemba watumishi wa serikali kama ilivyokuwa imeagizwa!
Mke wa rais ana jukumu kubwa la kumtia moyo mumewe. Awe ni mama ambaye katulia na mwenye moyo wa upendo na uvumilivu. Asiwe mtu wa kumtawala mumewe.
Tunataka rais anapoenda nyumbani, basi apokelewe na kutiwa moyo. Rais ni binadamu anahitaji leisure and support. Sivema kuwa na first lady anayemnunia mumewe au kumtolea mabegi nje.
Tukiangalia mapito aliyopita Edward Lowassa tunaona kwamba Regina Lowassa ni mama ambaye amekuwa bega kwa bega na mumewe katika kipindi kigumu na kirefu. Huyu anafaa kuwa first lady.
Lowassa ametukanwa sana. Kiasi kwamba watawala walitaka tusiangalie ESCROW,twiga waliopelekwa Qatar, madawa ya kulevya yanayoenda South Africa na China, Tembo wanaouawa kila siku, mabehewa mabovu yaliyonunuliwa, vivuko vibovu vilivyo nunuliwa, n.k. Sisi tuimbe wimbo wa Lowassa fisadi wakati wao wanatafuna nchi.
Sisi ambao ni waumini wa kanisa katoliki, ukienda kuungama kwa padre, hauna tena jukumu lakwenda kwenye umati kuwaeleza dhambi zako. Na yule muungamishi wako anapofungua pazia la maungamo, basi yote uliyoyasema yatabaki pale. Hawezi yapeleka nje. Lakini hiyo ni sheria ya kanisa, kama zilivyo sheria nyingine. Mfano, padre haruhusiwi kuwa na kimada au mke. Ndo maana wakati wa kupadirishwa tunalala kifudifudi ikiwa ni ishara ya kuufia ulimwengu na Bwana wetu ni Yesu. Kwa mapadre wasiowaaminifu utoa siri ya maungamo ya muumini. Wengine uwa na vimada. Wengine utoka kwenye upadre lakini ukiangalia umri wa watoto wao unagundua watoto walizaliwa akiwa bado padre.
Edward Lowassa alishiriki Richmond kwa namna moja au nyingine. Lakini huyu ni mtu ambaye ameadhibiwa kwa miaka minane. Katika huo muda, ametukanwa sana tena na vijana ambao walipo mtukana walipewa vyeo. Kwakuwa huyu EL ni binadamu, basi amejifunza na akipewa nafasi ata prove kwa umma kwamba yeye ni mwema.
Pombe Magufuli naye siyo msafi. Kauza nyumba za serikali n.k. Kuna kipindi alitaka kubomoa nyumba za watu bila kuwalipa fidia wakati barabara ilikuwa imefuata makazi ya watu. Viongozi wake wa juu walimwambia aache ubabe. Sasa ukimpa urais, akipitisha uamuzi wa kibabe, sisi wananchi tutaenda wapi kuomba msaada?
Wanakigamboni waliambiwa wavuke bahari kwa kupiga mbizi. Huyu hana ubinadamu.
Katika hawa wawili tuliopewa yaani Pombe na Lowassa, bora LOWASSA. Mama Lowassa zidi kumtia moyo mzee na ukiwa first lady jiepushe na tabia za watangulizi wako. A first lady should be role model for other ladies.
"..Nilikua nashindia mihogo... hata nyumba
nayoishi nimejengewa na Mwenyekiti.."
Calculation,
1. Mihogo 250/= × 2 x 3 = 1500/= per day,
(tamka "buku jero")
2. 1500/= × 365 days = 547,500/= a year. TOTAL
547,500/=
Press Conference,
1. TV (live coverage) 25 mil × 3hrs × 3Chanels =
225 mil.
2. Radio (Live coverage) 2 mil x 3 hrs × 10 = 60
mil.
3. Newspapers 5 mili (Lampsum).
TOTAL 290 Mil [tamka "milioni mia mbili na
tisini"]
Huyo ndiye mtu aliyekuwa akishindia mihogo.
Unashindia mihogo ya buku jero kwa siku, then
unachoma almost 300 Mil. in three hours, na
unapata ujasiri wa kuwaita wenzio Mafisadi.
Duuuh # Shikamoo_mihogo .!
Dr bora angestaafu kistarabu heshima yake ikabakia pale pale kuliko alichofanya
A first lady should be role model for other ladies.