swahili state
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 261
- 146
Mbowe alimuomba slaa agombee urais ila slaa alikataa mpaka wakakubaliana akigombea urais na ikitokea amekosa chadema itampa mshahara wa ubunge kila mwezi,fuatilia siasa ndipo uongee.Kampe Dr cheo nyumbani kwako.Ubinafsi kitu kibaya sana.Yeye alivyotemwa ubunge na ccm karatu mbona alikuja chadema akapewa?mbona Mbowe alimuachia agombee urais?mgeni akija nyumbani hupaswi kukimbia nyumba.Kweli TISS kupitia mama wamemmaliza Dr