Recent content by Mwailongola

  1. Mwailongola

    Kinachoboa Mwanza

    Mmmmmmmm bila shaka sehemu nyingine si Mbeya.wale wamama wanajua kupika wali yaani acha kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mwailongola

    Je, inawezekana kwa Mwalimu kumuwekea dhamana mtuhumiwa dhidi ya mwanafunzi kwa kesi ya mapenzi

    Habari wana JF, Naomba msaada wa kisheria kuhusu dhamana. Kuna mtu kakamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi. Katika mashariti ya dhamana ni kwamba anatakiwa awe na wadhamini wawili watumishi, sasa swali langu; Je, mwalimu anaweza kumuwekea dhamama mtu kama huyo? Asanteni Sent using...
  3. Mwailongola

    Kwa wale tuliowahi kusoma Vitabu vya simulizi zamani 90z kurudi nyuma

    Sifi mara mbili Pesa zako zinanuka Temptation and other stories A bed of roses Kiu ya haki Hiba ya wivu Zawadi ya ushindi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwailongola

    Kwa wale tuliowahi kusoma Vitabu vya simulizi zamani 90z kurudi nyuma

    Vitabu vya Agoro Anduru bado ninavyo.A bed of Roses, This is living and other storie, Temtation and other stories
  5. Mwailongola

    Kwa wale tuliowahi kusoma Vitabu vya simulizi zamani 90z kurudi nyuma

    Kipengele cha barua bado nakikumbuka kutoka IKIBIDI KUFA NIFE Mpendwa dada Ni matumaini yangu kwamba u mzima na unaendelea vyema.pole kwa kazi pamoja na shughuli mbalimbali uzifanyazo huko.utakapo hali yangu mimi ni mzima. Nimeona nikuandikie barua hii ili kukuambia au kurudia baadhi ya maneno...
  6. Mwailongola

    Rais Magufuli na Makamu wa Rais Samia wapo nje ya nchi, Je Ikulu yupo nani?

    Hapana.Spika hawezi kukaimu urais kwa mujibu wa katiba
  7. Mwailongola

    Rais Magufuli na Makamu wa Rais Samia wapo nje ya nchi, Je Ikulu yupo nani?

    Katiba inaeleza Rais asipokuwepo Makamu wake atashika ofisi.Kama rais na makamu wote hawapo basi ni Waziri Mkuu.na hivyo ndivyo ilivyo
  8. Mwailongola

    Rais Magufuli na Makamu wa Rais Samia wapo nje ya nchi, Je Ikulu yupo nani?

    Kwa mujibu wa katiba ni waziri Mkuu
  9. Mwailongola

    Rais Magufuli na Makamu wa Rais Samia wapo nje ya nchi, Je Ikulu yupo nani?

    Civics form two.Waziri Mkuu kakalia kiti
  10. Mwailongola

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi baadhi ya batani za mita ya luku hazifanyi kazi.msaada nifanyeje?
  11. Mwailongola

    Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote

    Isaac Newton, was an insecure person, arrogant and rude.he suffered two nerves breakdown like Robert Hook.he never had a girl friend and never married.his great achievement was to show that Mathematics can be used to state a set of laws which explains so much about our universe.R.I.P the great...
  12. Mwailongola

    Wabongo tunapenda sana kusalimiana kinafki

    Wataalamu wa lugha wanasema mojawapo ya kazi ya lugha ni kuanzisha na kuendeleza mahusiano mazuri ya watu (PHATIC FUNCTION) Kupitia mambo mbalimbali kama vile SALAMU (kutoa ama kuitikia) na unaposalimiwa lazima uitike positively hata kama una matatizo ili kuepuka kumkwaza au kumchelewesha mtoa...
  13. Mwailongola

    Neno gani la kiswahili umejifunza karibuni na hukuwahi kujua kama lipo?

    Manzi, ulaibu, kicharazo, insyisyi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom