Recent content by mwahaja

  1. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Kwanini call recorder yangu ina record sauti yangu tu

    Mimi nikijua unafanya hivo nakukamata nakupeleka mahakamani
  2. mwahaja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

    Ritha usifanye hivo
  3. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Arusha Baridi

    Arusha
  4. mwahaja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikiwa haupo tayari kuupokea au kuukubali ukweli basi usitafute kuujua ukweli

    Sawa
  5. mwahaja

    JamiiForums Tanzania MSAADA; Mwenye safari ya Mwanza-Tanga kati ya tarehe 16/06/2019 hadi 19/06/2019

    Kabisa mkuu.Very risk.Bora upate ndugu humu akusaidie.Ni ukweli watu husafiri sehemu tofauti humu.
  6. mwahaja

    JamiiForums Tanzania MSAADA; Mwenye safari ya Mwanza-Tanga kati ya tarehe 16/06/2019 hadi 19/06/2019

    Me pia naomba msaada wa kusafirisha Mzigo (academic materials) toka Arusha -shinyanga.Ni vichache tu.Nimeogopa safirisha Kwa bus vinaweza potea,ni bora viende na mtu. Jamiiforum ni ya wanandugu
  7. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Basi gani la luxury zuri kusafiria kati ya Arusha-Mbeya?

    Asante.Sijui kwanini hakuna gari ya kueleweka nzuri hii route? Wakati ni miji mikubwa sn.
  8. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Basi gani la luxury zuri kusafiria kati ya Arusha-Mbeya?

    Wakuu nauliza bus luxury toka Arusha kwenda Mbeya. Bila sahau huduma ya charging system please. Asanteni
  9. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa matibabu ya matezi na pumu

    Poleni kwa majukumu ndugu zangu.Mtoto anaumwa matezi muda wote.Pamoja na kuhangaika Sana ktk kutafuta matibabu lakini bado.At the same time ana tatizo la kifua(pumu) ambayo Baba yake anayo pia.Sasa je kuna namna ya kuyamaliza haya maswahibu yanayomtesa huyu malaika? Msaada wenu please. Asanteni...
  10. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wakuu

    Ipo hivi; Rafiki yng alikamatwa na kukaa mahabusu Kwa miaka 14 Kwa kesi ya kusingiziwa.Ametoka amefungua kesi ya fidia na anadai ameshinda malipo yake ni million 140. Sasa utata ni kwenye utekelezaji wa malipo hayo yanayotakiwa lipwa na kampuni.ANAZUNGUSHWA,na nachokiona ni kwamba amekosa...
  11. mwahaja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyomsibu kaka yangu

    Daaah?!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwahaja

    JamiiForums Tanzania Jean-jacques savini aanza safari ya kuvuka bahari ya Atlantic kwa kutumia pipa

    Watu wengine Bana?!? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwahaja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa kwa harusi au bila harusi kipi bora?

    Me bado ni mtihani kwangu
  14. mwahaja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa kwa harusi au bila harusi kipi bora?

    Wanaume hatupendi harusi.Tunapenda Kimya kimya
Back
Top Bottom