MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,277
- 3,298
Guys mambo vp,
Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama USHAHIDI hapo baadae.
Mwanzo nilikuwa natumia simu yenye android 8 na nilikuwa narecord vizuri kabsa kwa kupitia app ya ACR CUBE,but unfortunatelly sasa nikirecord huwa nasikia sauti yangu tu,ya ninayeongea nae SI-ISIKII nimejaribu kuangalia google lkn ishu ni kuwa wao wenyewe google wame-restrict kurecord call voice kwenye android 10...
Je nifanyeje niweze kurecord hata kwa kutumia app nyingine?na kama naweza kufix hii ishu kwa kucheza na setting za kwenye hii app ninayoitumia nitafurahi nijulishwe cc CHIEF MKWAWA