Recent content by Mwagitho

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafiki wa wana jf kwenye uchawi ( ulozi ) katika mapenzi

    hii habari ya kweli kuna jamaa yangu alichoka huku ugenini tunakoishi,akaamua kuludi bongo kwa gia ya uganga,aliwapata sana wateje,tena wateja zake wakubwa walikuwa kina mama, wengi walikuwa wanataka dawa za mapenzi.jamaa alikuwa anawachanja nanii zao balaa.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na kuwafokea waume zao

    tutegemee vifo vya mapenzi kuongezeka kila kukicha
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na kuwafokea waume zao

    hivi tujiulize sisi tuliyezariwa vijijini miaka ya nyuma, nani aliwahi kumuona bibi yake anamfokea babu yake? Au mama yake anamfoke baba yake?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na kuwafokea waume zao

    Hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke kumuheshimu mume.
  5. M

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanawake na wanaume kundi gani linaloongoza kutoka inje?

    Katika tathimini yangu nimeona kundi la wanawake ndio linaloongoza zaidi kutoka inje, ukilinganisha na wanaume,mfano utakuta mwanamke mmoja anawanaume zaidi ya wanne tena wa kudumu kwa wakati mmoja bila wao kujijuawa, ni ngumu kwa mwanaume kuwa na wanawake watatu kwa wakati mmoja kwanza ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

    ndimara ulichoongea ni ukweli mtupu ingawa kuna watu walizaliwa kwa ajili ya kupinga kila kitu wacha wapinge mwisho wake watauona
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamuwezi kuamini jamani...

    umesahau kutuambia hata usingizi hukupata maana ulikesha macho
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naitaji kununua gari msaada

    nashukuru kwa ushauli wenu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    huyu jamaa atakuwa anapigaa punyeto balaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Nashukuru mkuu tatizo wife ana miaka 50 sioni hata dalili ya kutema mate tumemaliza hospitali zote vipimo vinasema tuko fiti.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda kuzira chakula?

    Hii ni kalibu wote toka enzi za bibi,mama,dada mpaka wake zetu huwa inatoka na nini tofauti na wanaume
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Unaweza ukawa unaishi duniani lakini huijui dunia, ngoja upate matatizo ndiyo utaijua dunia
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naitaji kununua gari msaada

    nina kama milion10 naitaji kununua gari za kuagiza inje ya inchi mfano japan, hiyo hera nimetenga pamoja na ya kulipia ushuru,naombeni mnisaidie inakuwaje utaratibu wa kuagiza na aina ya gari nzuri na garama za ulipaji ushuru,nilikuwa naitaji gari ya familia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Ukweli wanawake wengi wamesaidiwa na hizi dawa sema yawezekana mtoaji wa dawa huwa hasemi zinaenda kufanya kazi gani? Unakuta mtu anatumia bila kujua faida na hasara.
Back
Top Bottom