Unafiki wa wana jf kwenye uchawi ( ulozi ) katika mapenzi

Unafiki wa wana jf kwenye uchawi ( ulozi ) katika mapenzi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,825
Kila mtu anapo anzisha thread ya kutafuta uchawi ama ulozi wa mapenzi hapa jukwaani, wamekuwa wakiibuka watu na kuanza kumkejeli muhusika, huku wengine wakimwambia habari za ulokole and all that. Twende mbele turudi nyuma, ulozi katika mapenzi upo na unafanya kazi kweli kweli! Jamani mapenzi yanatesa sana nafsi za wanadamu, mtu mpaka amefikia hatua ya kuja hapa jukwaani anatafuta ulozi wa mapenzi jua yamemfika shingoni, so tusiwe tunawakejeli, tuwasaidie..

ACHENI KUJIFGANYA HAMJUI! ULOZI KATIKA MAPENZI UPO, WHETHER U LIKE IT OR YOU DONT LIKE IT !
 
Mapenzi hayana dawa (mitishamba).

Na yeyote anayeenda kwa waganga kutafuta dawa ya mapenzi ni mgonjwa wa akili tu.
 
Your name carries something like a herb name....

ha ha huyu mwenzako LIKUD keshafuzu uchawi watu8 plz tupiamo link ya zile thread zake alizojifunza uchawi jukwaa la habari mchanganyiko kuwa makini asije akatulimisha leo.
 
Last edited by a moderator:
nayo jua ipo ni dawa ya vidudu kunatana, Au ukichukua Mali ya mtu mkifika kwa place Papuchi huioni,staki ubishi au Maswali kwenye hili Huamini unaacha
 
Mapenzi hayana dawa (mitishamba).

Na yeyote anayeenda kwa waganga kutafuta dawa ya mapenzi ni mgonjwa wa akili tu.

Endelea kuhonga mamilioni wakati ungeweza kutoa laki moja ukapata dawa ukajiepusha na gharama zisizokuwa za msingi..Lazima niwaambie,acheni hizo bana
 
ha ha huyu mwenzako LIKUD keshafuzu uchawi watu8 plz tupiamo link ya zile thread zake alizojifunza uchawi jukwaa la habari mchanganyiko kuwa makini asije akatulimisha leo.

amu ukipata buzi la kulichuna we nione nikupe vata
 
Si ndo maana nimeliona hilo jina nikaona kuna elementi za ulozi ndani yake!
ha ha huyu mwenzako LIKUD keshafuzu uchawi watu8 plz tupiamo link ya zile thread zake alizojifunza uchawi jukwaa la habari mchanganyiko kuwa makini asije akatulimisha leo.
 
Last edited by a moderator:
yan ulivooongea kwa msisitizo utafkr umegundua sababu za chura kuwa na mwendo wa kuruka ruka!!
 
Ata waganga wanalia kwa mapenzi, wangejitibia wao kwanza
 
hii habari ya kweli kuna jamaa yangu alichoka huku ugenini tunakoishi,akaamua kuludi bongo kwa gia ya uganga,aliwapata sana wateje,tena wateja zake wakubwa walikuwa kina mama, wengi walikuwa wanataka dawa za mapenzi.jamaa alikuwa anawachanja nanii zao balaa.
 
Imani ni suala gumu hasa ktk ushawishi, kama unaamini izo nguvu zipo endelea kuamini we kama wewe
 
Endelea kuhonga mamilioni wakati ungeweza kutoa laki moja ukapata dawa ukajiepusha na gharama zisizokuwa za msingi..Lazima niwaambie,acheni hizo bana

Hizi ni dili za MziziMkavu, hii ni marketing strategy. Zile za kuongeza nguvu za kiume mmemaliza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom