Wanawake na kuwafokea waume zao

Wanawake na kuwafokea waume zao

tutegemee vifo vya mapenzi kuongezeka kila kukicha
 
Umeonaee jinsi mwanaume alivyo ndo na mke wake atakavyokua kama anashindwa kujitambua na kujiheshimu as a gentleman hata mke wake atamdharau na kumfokea popote atakapojisikia..
mimi mume wangu hata kumwongelesha kwa sauti ya juu sidhubutu hata kama hajaniudhi ,the way he is respected utajiona mjinga wewe mwenyewe.
 
ila hiyo ni aibu kwa kweli, mwanamke lazima uwe na stara..hata kama mumeo kakuboa piga kimya kwani si ataingia chumbani tu? wakati mwingine kujidhalilisha tu..

mimi na mume wangu huwa tunagombana sana tu lkn sijui hata kama husegirl anajuaga kinachoendelea..maugomvi yetu chumbani tukiona hili italeta zogo kubwa tunaenda hoteli, kwishney..
tukiwa sebuleni na watoto tuko poa kama hatujagomaban vile..
 
Umenikumbusha j2 iliyopta mke wangu wa ndoa alinifokea sn na kunitukana sn tena kwa sauti kubwa mbele ya mtoto wetu.Anayeingia grade 7 this year.!NILIJISIKIA VIBAYA SN,NIKATOKA HAPO HOME NA KWENDA BAR NIKITAFAKARI NAMNA ALIVYONIDHARIRISHA..!

Piga bastolaa huyoo
 
Hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke kumuheshimu mume.

Hao ni watoto wa kiume walio olewa na wanawake kwa tamaa za mali,
Lakini kwa wanaume wa ukweli wenye misimamo hilo halipo kabisa,labda kama huyo mwanamke anahamu na makofi ya mumewe kidogo.
 
nimesema hivyo nikiwa na maana kwamba tafuta hela................punk! kwanza how do you know dada ako tumempeleka huko ama?

Exactly! Atafute famba! Siyo maneeeeno meeengi kama mkwelee alafu akifungua wallet inatoa sisimizi!!! Money is POWER! says JayZ
 
Si ndiyo maana kasema atarudi kuclaim what she thinks is rightfully hers,
Money ndiyo kila kitu,asikuambie mtu,!!!ukiona unaanza kufokewa ovyo na mkeo ujue uchumi wako ndiyo chazo,chakarika uone kama utafokewa ovyo,..Hakunaga,!!!

Well said...... Bravo!
 
Afokewe tu, tena ikiwezekana apigwe tuu, kama hana famba aka uchawi wa mzungu, aka.....sabuni ya roho...... achapwe vibao akatafute pesa!!!
 
KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARA!!!!!!!!!!? Mbona nyie mnatufokea? Na wewe mwanaume kwanini ufanye JEURI na KIBURI hadi ufokewe??????????? Mnaboa saa zingine!Ila mwanaume tafuta PESA sanaaa! Money cant buy you happines but it can spare you the drama and unecesary shame like this. Ukizingatia uko broke unamtegemea mkeo! Haloooooooo! Uapigwa hadi makonzi nini kufokewa!
Walahi lala 1 ukinipiga konzi, usiku sikugegedi...! Chezea mie wewe?
 
Back
Top Bottom