lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Wewe ni "mwanamke hila si mke".huna vigezo vya kuwa mke.wanawake ndio matatizo ktk ndoa za sasa!
mwenyewe NDOA MZIGO SIZITAKI!!!!!!!!!! Ndoa inatakiwa mwanamke UKAJIPUMZISHE UHUDUMIWE sio kujiwika misalaba kumi kumi kukomaa a jiji. Akhaaaaaaaaa!
Kama definition ya kuwa mke ni kubeba mizigo ya kiuchumi, NIMEJIVUA GAMBA, waolewe tu, mi nitakuwa small house.
Mke unatakiwa UTUNZWE na obliation zko zisiexceed CHUMBANI, KUZAA na KULEA. Baaaaaaaaaaaaaasss!