[FONT=trebuchet
ms]Ninachojaribu kutafakari juu ya Mahakama zetu ni pale
zinapotoa hukumu za kuwabakisha wanachama kwenye vyama ili
'wasiathirike'.
Mwanachama wa chama cha siasa kama mtu binafsi anayo haki ya 'kulindwa
na Mahakama' but on the other way round iko hivi: Je vyama kama Taasisi
nazo si zina haki ya kulindwa na Mahakama kwa mujibu wa Katiba zao na
Katiba ya nchi kwa ujumla!?
Kwa maana hiyo, kweli inawezekana siku moja ikatokea Mahakama 'ikatoa
hukumu' ya kumlazimisha mwanachama aliyeamua kuondoka/kukihama chama
asiondoke ili isisababishe damage kwa chama na shughuli zake? (fikiria
mara mbili kama hujanielewa tafadhali).
[/FONT]