Recent content by MwafrikaHalisi

  1. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Munga Tehenan: YUPO WAPI?

    Nahitaji kupata hizi video, unanisaidiaje ndugu?
  2. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    You guys never learn. This will never happen
  3. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Tecno C9 for sale

    Kuna Tecno C8 inauzwa 190,000 hapa.
  4. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Professor Kitila Mkumbo slams Ministers Ummy and Kigwangala

    Dude, English is a language not a measurement of one's IQ.
  5. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wazee wa Asenali, chama la wana mpoo?
  6. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Nakubaliana kuwa World Vision Tanzania iko corrupt kwa sasa, ila hili unaloliongelea hapa linawekwa wazi kwenye Sponsorship Philosophy yao. Watoto wanafadhiliwa lakini benefits ni kwa community yote sio individual child. Tatizo kubwa ni pale walipobadili kutoka kusupport infrastructure za...
  7. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

    Wapi Juma Abdul?
  8. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wa jinsia moja: Tusiwape ushirikiano wowote ule?

    Gay
  9. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kesho hali ni tete jamani :(
  10. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Nilisema mapema ni lazima tuwachape wale, maana kulikuwa hakuna namna nyingine.
  11. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hili sio ombi, ni amri. Tutamchachafya vibaya mnooo
  12. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika nitakapooa, nitaoa mwalimu

    Hapa anaongelewa mwalimu mke sio mwalimu aliye single. Wewe kama mume unakuwa wapi mpaka mkeo anaishiwa kufikia tarehe 15? Na kama ni suala ni kumegewa, sio walimu tu, wanaume wengi wanamegewa hata kama wake zao wana kazi zenye kulipa vizuri. I think point ya msingi hapa ni kuwa walimu wengi...
  13. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo, kulia ni unafiki uliopitiliza

    Hahaha. Huyu bwana Jafo ni Mbunge wa Kisarawe aende shule ya Msingi Chang'ombe (sio pekee yenye mapungufu makubwa ila ni mfano tu) huko Kisarawe akaone na matatizo ya kwake sio kuleta unafiki hapa.
  14. MwafrikaHalisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Yani hapo kaona show ni ya hali ya chini na pesa pia hakuna, abaki kufanya nini? Kimoja wapo kingekuwepo angebaki trust me.
Back
Top Bottom