Hakika nitakapooa, nitaoa mwalimu

Hakika nitakapooa, nitaoa mwalimu

Kati ya mwalimu wa kike na Nurse wa kike yupi afadhali kidogo kumuoa
 
Teh teh..dressing code haimfanyi mtu akawa mzembe kwenye fashion. Labda huko kwenu tu,af naskiaga wanaingia class na kanga za kiuno. Wameacha?
Sijawahi kusoma huko ila nackiaga tu....huku chuoni kwetu hata wakija na bikini cyo tatizo
 
Nurse, Daktari Polisi Mwanajeshi UWT hawa wanatakiwa waoane wao kwa wao tu
 
Huku sisi tunaita walimu ni maharage ya mbeya maji Mara moja. Kati ya wafanyakazi Malaya na wepesi wakugawa k ni waalimu wa tanzania

Mkuu..
wewe umeangalia upande wa K na unasahau kila mwanamke ana k,na kugawa k ni hulka ya mtu..mimi nazungumzia profession ya mwalimu na sio haiba ya mtu..
Swali..kwani ulie nae yeye agawi hiyo K...??
 
Tuulize sisi tunaosoma na hawa mabinti(waalimu tarajali)
1.wengi wao wana poor financial background hivyo ni rahisi kulaghaiwa hasa akikutana na mwanaume materialist.
2.hawako updated na fashion kama mavazi,na kutengeneza mionekano Yao hivyo wanakuwa mizigo kutoka nao
3.ukiwa na kazi ya kukukeep busy utamegewa sana sana sababu wapo free
4.jiandae kujenga ukweni ulimuona
5.jiandae kuwa na extended type of family

Inategemea na mtu. Uko right ila hizo ni habits tu za mtu na mtu.
 
Tuulize sisi tunaosoma na hawa mabinti(waalimu tarajali)
1.wengi wao wana poor financial background hivyo ni rahisi kulaghaiwa hasa akikutana na mwanaume materialist.
2.hawako updated na fashion kama mavazi,na kutengeneza mionekano Yao hivyo wanakuwa mizigo kutoka nao
3.ukiwa na kazi ya kukukeep busy utamegewa sana sana sababu wapo free
4.jiandae kujenga ukweni ulimuona
5.jiandae kuwa na extended type of family
Nimependa msamiati tu (tarajali)
 
Basi sawa..Ngoja na mi nimpeleke wife akapige kozi
Usithubutu....

Kwa sie tulioishi huko kwenye vyuo vyao angalau miezi 2-3 (kabla ya kukimbia) hatushauri.... hawana tofauti na mabinti wa vyuo vingine vyovyote
 
Usithubutu....

Kwa sie tulioishi huko kwenye vyuo vyao angalau miezi 2-3 (kabla ya kukimbia) hatushauri.... hawana tofauti na mabinti wa vyuo vingine vyovyote
Teh teh..Mpendwa kumbe ulitoka nduki..Basi nimeghairi aisee
 
Huku sisi tunaita walimu ni maharage ya mbeya maji Mara moja. Kati ya wafanyakazi Malaya na wepesi wakugawa k ni waalimu wa tanzania
Tubu kweli mtu aliyekufundisha mpaka ukajua kuandika na kusoma na kuesabu ndio unamchafua hivyo.
 
Erica mwaisumo haya ninayoongea sio kwamba naongea kwa mtu mmoja, ila waalimu asilimia kubwa ni rahisi sana, kufikia tar 15 mwlm hoi, haoo hata hela ya nauli ya kuendea kazin inasumbua hapo ndipo wanatafunwa vibaya sana, japo sio wote, kuna waalimu humu ni majembe mno. Ila wengi wapo hoi.

Hapa anaongelewa mwalimu mke sio mwalimu aliye single. Wewe kama mume unakuwa wapi mpaka mkeo anaishiwa kufikia tarehe 15? Na kama ni suala ni kumegewa, sio walimu tu, wanaume wengi wanamegewa hata kama wake zao wana kazi zenye kulipa vizuri. I think point ya msingi hapa ni kuwa walimu wengi (sio wote) kutokana na mazingira yao ya kazi wana uwezo mkubwa wa kupambana na maisha na kuvumilia hata wakati wa shida ukilinganisha na kada nyingine. Pia tunaamini walimu ni walezi wazuri kwa kuwa muda mwingi wanalea watoto ambao si wao hivyo akiwa na wa kwake atamlea vizuri zaidi. Mwisho wa siku hizi ni assumptions tu ingawa kwa kiasi kikubwa huwa zina ukweli ndani yake!
 
Hakika mwalimu ni mke bora kulingana na kada zingine,
Kinachowafanya wawe bora ni kuwa mazingira yao ya kazi hayana vishawishi sana, walimu wa kiume wako inferior sana kuongelea mambo ya mapenzi kwa walimu wa kike, wengi wanajiona hawawezi kutokana na kuwa level moja ya mshahara, ni tofauti na kada zingine ambazo watu wana pesa. Kumbuka hakuna mwanamke anayependa shida.
 
Back
Top Bottom