Nini hatima yake baada ya kujua acha mambo ya ajabu jf inawakutanisha watu wa viwango mbalimbali na mitazamo mbali ukitaka hili lako liwe fair kuna ulazima wa kuset vigezo vya kujiunga jf
Tunahitaji kiongozi atakaye tutoa toka hatuamoja. Mpaka nyingine kimaendeleo na sio chama watanzania tubadilike tumpime mtu kwa matendo yke na si kwa uanachama wake
Pole kwa majukumu ya kutwa nzima jamani samahani naomba ufafanuzi kupata dhima ya mofimu 'li'katika neno limeshikilia
Kwa sababu kuna mdahalo hapa kuna watu wanasema kama mzizi wa neno' shik ' ni vipi. Li- idokeze kauli ya kutendea badala ya i - yaani shikia
Naomba msaada tafadhari
Naomba msaada jaman kuna watu tunabishana nao hapa wengine wanadai ''hakushiba sana''kwa madai Kwamba sarufi ya kiswahili haina dhima ya ''Ja''
Na wengine wanadai 'hajashiba sana' lakini wanashidwa kutoa dhima ya 'ja' na 'ku' inaonesha wakati uliopita Kwa wanaounga hajashiba sna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.