Wakuu nimeona wengi mmesema sana na maoni yenu na hata hisia kali zimechochewa na Kibanda .Kitila , Kibanda, Mbowe , Zitto , Mnyika, Halisi , Mrema John , sisi sote tunajuana wka karibu .Narudia sote tunajuana kwa sura na majina na makazi yetu , sote tuko katika harakati graundini na si JF pekee...