Sifa ya kwanza upimwe akili,2 una Mali isiyo pungua m50 3:ushapata mashambulio mangapi ya kuvamiwa4: je nimlevi kupita kiasi,5: hauna tamaa ya Mali zingine tofauti na ulizo nazo maana usiitumie kujipatia Mali zingine 6: usiwe na wifu wa kimapenzi,nk
Lakini mungu si alisema kua tukavitawale viumbe vyote vinavyo onekana na visivyo onekana, kwa hiyo inatakiwa tuvitawale na kuvituma na mshetani,majini nk wanatambua kua wao wapo chini yetu na wana tutii,bali binadamu wengi wana udhaifu wa kuto jiamini na badala yake likitokea tunasingizia...
Wakuu habarini za majukumu,naombeni ushauri kwa gari tajwa hapo juu naitaji kulinunua baada ya mavuno yangu ya mwaka,vpi ulaji wa mafuta,upatikaji wa spea,servis yake ikoje,asanteni
Andamaneni kunywa sumu tuone kama serikali itaangaika, hiyo ni sawa na anaye kuhamasisha yupo peponi we muhamasishwaji upo moyoni, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Hahahaha mbona hata bila maandamano mbona tunavichwa ndani ya vyumba sebule na tuna vilipia kwa wakati au Labda useme tuweke wazi michepuko yetu ktk jamii
Katika dunia IDARA ya uraisi ni idara nyeti kwa nchi zingine huruhusiwi hata kuijadiri kwenye mtandao ni marufuku kwa mtu yeyote huruhusiwi kujadili kwa njia yoyote ile au kukejili serikali iliyopo madarakani kwa mataifa mengine unanyongwa hadharani kwa kukusudia au kushawishi fikra za jamii kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.