Recent content by muyahudi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    kwa net sijajuwa kama wana link ila yuko ITV, he is very local yani. afadhali kidogo mwenzake aliye ripotia geita na mwanza kipindi hiki cha kuhesabu kura baada ya buhohela
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    Nakuunga mkono mkuu. japo sija check coment za wengine na nafahan anaripitia mkoa wa Mara, mimi nasema anakera sana hasa kipindi kabla ya uchaguzi, anavuta maneno wakati watu tuna tune 40mins kuskiza habari, instead anapaswa ku rise hoja ama maswali kwa kifupi yenye majibu ya kina ama detailed...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kumfumania Interviewer na mke wangu sasa hivi gesti, Je kesho kitaeleweka?

    ikiwa ni kweli usemayo, fanya hivi.. uyo mkeo jifanye unamshauri kwamba asirudie tena maana unampenda, pia mwambie awasiliane na jamaa kwamba akusaidie ww na yeye amuahidi jamaa kuwa alipe fadhila na ataachana na wewe na kuwa naye maishani, yaani shawishi mkeo kivovote am control jamaa hata wiki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira na Utumishi wa Umma yaingia doa

    mkuu uposahihi kabisa. mimi nimesha fanya oral interview 2. ya 1 tulikuwa na mtu ambaye hakufanya written lakini aliitwa oral December 2014, ya 2 ilikuwa tantrade march 26, 2015 nasikia tuu watu walisha itwa kazini lakini hawakutoa majina kwenye website mpaka leo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

    jitahidi tuu usisahau salama tatu bomba za kutosha for an emergency.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

    aliye kuambia si mali ya rostam akuambie ni yanani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tigo nao mambo yaleyale

    halotel wanabahati sana yani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

    huyo voda ndiyo nanii jamanii..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho: No way, I will resign

    akiwa anaondoka awabebe mgongoni terry, ivanovc na falcao. yaani wasepe tuu,
  10. M

    JamiiForums Tanzania 25 Oktoba kumchagua Lowassa

    labda kama kura utapiga pekeyako.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nakodoa macho sana, simuoni babu juma duni akipiga kampeni \unatuangusha babu/

    sasa kama taarifa ya habari unatizama TBC 1 utamuona vipi? shtukaa,
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    RIP mama,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanamtandao wa Maombi Tanzania (WAMATA)

    Jambo Jema mkuu, ubarikiwe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania EA Radio mna shida gani?

    kipindi cha George na Kennedy kilikuwa safi sana na ngoma Kali mwanzo mwisho, nashangaa wamewaweka sam misago na yule dada, hata hakivutii. wamuongezee time basil ambakile na yule marry (mkunga). otherwise vipindi vilivyo salia ni pathetic...
Back
Top Bottom