Kwa waliofika au wanaoijua Lusaka, Zambia

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Posts
9,539
Reaction score
5,923
Wandugu,
Nina mpango wa kwenda Lusaka Zambia mwezi ujao na nitakaa huko kwa wiki 2-3.
Naomba kufahamu fursa za maisha/biashara huko ziko vipi?
Maisha huko yakoje? In general wazambia ni watu wa namna gani?
Natanguliza shukran zangu
 
jitahidi tuu usisahau salama tatu bomba za kutosha for an emergency.
 
Sijakupata mkuu
Hebu funguka

....Maisha kama bongo

db_Lusaka-great-east-road-plus-manda-hill-shopping-centre012.jpg
 
Wao metropolitan zaidi yetu kiaina. Lusaka kuna malls zaidi ya 20! Established!!

Nlipokua huko, used to chill at Manda hill
 
Asante mkuu kwa update

Wana amani na upendo kama sisi. Maisha gharama kama zetu tu ispokua anasa ni juu kiasi japo kwa kuwa uchumi wao ni mdogo zaidi yetu, utajiskia tajiri.

Pia naonaga ni pasafi zaidi ya Dar. Majengo yake mengi ya kikoloni na imepangika sana hata vimiji vidogo vya saizi ya Himo au Usa river kwa kwetu. Slums zipo though
 
....Mkuu umenikumbusha mbali sana ..umetisha
 
Wana amani na upendo kama sisi. Maisha gharama kama zetu tu ispokua anasa ni juu kiasi japo kwa kuwa uchumi wao ni mdogo zaidi yetu, utajiskia tajiri.

Pia naonaga ni pasafi zaidi ya Dar. Majengo yake mengi ya kikoloni na imepangika sana hata vimiji vidogo vya saizi ya Himo au Usa river kwa kwetu. Slums zipo though

Unashauri nifikie wapi? Usalama?
 
Back
Top Bottom