Zembwela akiondoka ndiyo nitalia
Si kweli ..utakuwa ufatilii hichi kipindi kina mtangazaji mwezi wa pili sasaTatizo hawana mtu makini huoni skonga haina mtangazaji mpaka leo, inatakiwa unaajiri mtu anayeweza kutangaza vipindi viwili na zaidi.
sauti yake dzain km imefanana na ya perfect crispin wa CLOUDS.The Cruise, Power Jams na mwisho Planet Bongo