Recent content by Muyagha

  1. Muyagha

    Naomba kuelimishwa kuhusu UTT-AMIS na Fixed Accounts

    UTT interest haikatwi kodi lakini Fixed Deposit Account interest inakatwa kodi ya 10% (Withdrawing tax). Kama una pesa ya ziada na hauna muda wa kusimamia biashara ni uwekezaji mzuri. Kuna jamaa tulianza naye uwekezaji UTT pale tu mfuko ulipo anzishwa mwenzangu akawa anaendelea kuweka kila...
  2. Muyagha

    Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake?

    Kuna mtaalam mmoja nilimuuliza baada yakuandamwa sana na ndoto za primary na O-level wakati huko nilishatoka kitambo sana na hata vyuo pia ni long nilisha maliza. Aliniambia kuna jamaa wanapambana ili nisisonge mbele kimaisha. Nikapotezea.... ila sasa nahisi kama kuna ukweli fulani.
  3. Muyagha

    Biashara ya kupangisha nyumba na fremu ni utajiri mkubwa watu wengi hawapendi kuwafumbua wenzao

    Hapo juu nilitoa wasi wasi wangu kuhusu sample ulio tumia kufanya utafiti wako labda ulimuangalia mtu mmoja au wawili tu. Ngoja nikupe dondoo chache kuhusu biashara hii; 1. Pesa ulio wekeza itarudi lini? (Pay back period). Mfano hiyo nyumba ni 80m. na kwa mwezi inaingiza 500,000/- Pesa...
  4. Muyagha

    Biashara ya kupangisha nyumba na fremu ni utajiri mkubwa watu wengi hawapendi kuwafumbua wenzao

    Sample ulio tumia kwenye utafiti wako was not representative.
  5. Muyagha

    Kinywaji gani au chakula gani ulishawahi kula hotelini ukasema umepoteza hela yako?

    Nakumbuka siku nikiwa pale Paradise Bagamoyo niliwakuta wazungu wanakula Kamba koche nilipo uliza bei sikuamini masikio yangu.....ila nikahisi ni msosi mtamu sana...nika-agiza kwa mbwembwe zote....miaka 10 imepita bado nikikumbuka natapika....
  6. Muyagha

    Ushauri: Nawaza kuuza kiwanja nifanye biashara baada ya kufukuzwa kazi. Nina familia inayonitegemea

    Mali yako ndio mkombozi wako, labda kama una njia nyingine ya kupata mtaji kwa haraka vinginevyo watoto wakilala siku moja tu, utanyimwa haki yako hapo nyumbani.
  7. Muyagha

    Ninunue kiwanja au nianzishe biashara kwanza

    MAELEZO ULIYO TOA HAYATOSHI KUSAIDIWA... LAKINI ogopa zero return investment hebu fikiria una 10M tu halafu pesa yote umenunua kiwanja... na umesema kibarua kimeota nyasi... HICHO KIWANJA KITAKUSAIDIAJE.
  8. Muyagha

    Hili ni tatizo gani, Nimsaidiaje?

    USHAURI WANGU KWAKE 1. Atumie muda wa mchana kujisomea 2. Asome na kupumzika .. kufanya kitu kingine kila baada ya saa na nusu 3. Asome akiona ananyemelewa na Adui yake aende discussion 4. Atengeneza ratiba nzuri ya masomo na awe serious kwa masaa 2 yanatosha sana (but concentration should be...
  9. Muyagha

    Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Tatizo ni kubwa hata ukiingia kwenye website ya wizara husika namba zilizomo ukipiga hazipatikani. Kwa miezi 2 nahangaika kutafuta mawasiliano na mheshimiwa naibu waziri Bashe ili nimueleze e yaliyo tupata wakulima wa korosho Mlandizi Kibaha kwa korosho tulizo uza October 2018 bila mafanikio...
  10. Muyagha

    Biashara zangu zimegeuzwa kuwa za ukoo

    Cheka cheka na nyani utavuna mabua. *Umemuingiza mama kwenye biashara akichota noti kumpa mwanae akale bata utamfanya nini? *Business is a separate entity, huwezi toka nyumbani na kwenda kwenye biashara yako kuchukua pesa itakavyo, * Kinachotoka kwenye biashara kwenda kwa mwenye biashara ni...
  11. Muyagha

    Waziri Lukuvi: Mwisho wa urasimishaji wa ardhi March 31

    Na sisi ambao tumesha lipia zoezi la urasimishaji lakini mkandarasi anasua sua kumalizia upimaji na utoaji wa hati tukimbilie wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Muyagha

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Mmmh! Mie simo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Muyagha

    Mlio safiri na Reli ya TAZARA Tupeane mrejesho

    Baada ya masaa kadhaa kutoka stesheni ya Dar utaingia mbuga ya Serous wanyama kibao, baada ya hapo utaingia Udizungwa ukiwa makini utawaona mbega weupe, ukisha pita Mlimba ndio starehe inaanza kwa wale wapendao uoto wa asili, ma-tunnels, madaraja marefu, milima na misitu ya kupandwa. Ndani ya...
  14. Muyagha

    Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Si tu aliye jibu hoja, bali ni wengi tu humu hamjamuelewa mtoa hoja. Haku maanisha mkuu amwage minoti kwa wananchi bali aangalie kilicho sababisha mzunguko wa pesa kuwa mdogo.
  15. Muyagha

    Tuache kujibagaza, tukitaka kuwa wazalendo wa kweli tutafute suluhu ya kudumu dhidi ya mkulima Steyn

    Acheni longo longo kila mtu hapa anajua dawa ya deni ni kulilipa. Uwezo wenu ni kutuibia na kutudhurumu sisi wakulima wa korosho, sasa ngoja mkomeshwe. Tulio uza korosho September 2018 mpaka leo hatujalipwa tunatamani hata kukamata Prado za serikali.
Back
Top Bottom