NYETO NI HATARI SANA KATIKA AFYA YA AKILI95% AMEANZA TABIA YA NYETO, MIMI MWENYEWE NILISHAPATA IYO HALI MPAKA NIKAHISI NIMELOGWA KUMBE WAPI, NILIKUJA KUACHA NYETO NIKARUDI KWENYE HALI YANGU YA KAWAIDA, NYETO NI HATARI SANA KWA AFYA YA AKILI
uchawi maybe....au ana sleeping sicknessMoja kwa moja kwenye mada. Lakini niwe muwazi si mwandishi mzuri!
Ipo hivi, kijana wangu yupo A level bweni, jana amerudi analalamika amepata ugonjwa wa ajabu. Kwamba ana karibu wiki tatu sasa anashindwa kujisomea usiku kwani akishika kitabu baada ya kama saa moja au na zaidi kidogo anapata usingizi wa ajabu, ajabu kwa maana kwamba hawezi kujizuia na akilazimisha atastuka asbuhi akiwa amelala hapo hapo kwenye meza.
Baya zaidi anapoashwa hawezi kuamka kabisa. Hali hii humtokezea usiku tu mchana anakuwa kawaida tu. Mchana (jioni) anapata muda wa kutosha, hulala kuanzia saa 10.00 jioni hadi saa 1.00 usiku.
Amejaribu njia kadhaa ikiwa ni pamojà na kulala baadhi ya siku usiku kucha ili kesho yake apate nguvu haikumsaidia. Amejaribu kuacha kula chakula cha usiku, yaani akishakula chakula cha mchana hali tena hadi kesho yake asubuhi hii njia anasema imepinguza kidogo matàtizo lkn si kwa kiasi cha kuridhisha.
Naomba mwenye utambuzi, ushauri au dawa za kuondoa tatizo hili, nikiamini familia yetu hii JF ina utajiri wa wataalam wa kila fani.
Marateng kaka un jomoringo Rorya pacho udak mana kono Darisalamu. Yawa dhiuru dala umos kata mikunge.
Hali hiyo ya usingizi mzito usiokuwa wa kawaida mara nyingi kwa uzoefu wangu huweza kuletwa kiroho na nguvu za giza. Nimewahi angalau kidogo kupata hiyo hali hata miezi michache tu nilijikuta kwa siku kama mbili hivi nakilala usiku napata usingizi mzito wa ajabu na kuamka asubuhi kwa shida sana tena nimechelewa kazini. Nilichofanya ni maombi ya nguvu dhidi ya wachawi na mapepo, ilikwisha ghafla. Ukijisikia vibaya kwa namba yoyote ile kimbilia kwenye maombi ya vita, piga mapepo na wachawi katika mwili wako kwa Jina la Yesu Kristo. Pia mtafute mtu wa Mungu wa Kweli afanye maombi mazuri kwake.Moja kwa moja kwenye mada. Lakini niwe muwazi si mwandishi mzuri!
Ipo hivi, kijana wangu yupo A level bweni, jana amerudi analalamika amepata ugonjwa wa ajabu. Kwamba ana karibu wiki tatu sasa anashindwa kujisomea usiku kwani akishika kitabu baada ya kama saa moja au na zaidi kidogo anapata usingizi wa ajabu, ajabu kwa maana kwamba hawezi kujizuia na akilazimisha atastuka asbuhi akiwa amelala hapo hapo kwenye meza.
Baya zaidi anapoashwa hawezi kuamka kabisa. Hali hii humtokezea usiku tu mchana anakuwa kawaida tu. Mchana (jioni) anapata muda wa kutosha, hulala kuanzia saa 10.00 jioni hadi saa 1.00 usiku.
Amejaribu njia kadhaa ikiwa ni pamojà na kulala baadhi ya siku usiku kucha ili kesho yake apate nguvu haikumsaidia. Amejaribu kuacha kula chakula cha usiku, yaani akishakula chakula cha mchana hali tena hadi kesho yake asubuhi hii njia anasema imepinguza kidogo matàtizo lkn si kwa kiasi cha kuridhisha.
Naomba mwenye utambuzi, ushauri au dawa za kuondoa tatizo hili, nikiamini familia yetu hii JF ina utajiri wa wataalam wa kila fani.
Njoo PM pleaseAsewinjo jathurwa ija kanye
Mkuu, chakula jioni mara nyingi ni wali, hili la muda sina uhakika lkn nadhani ni kuanzia saa moja. Ama mandhari, wanasoma kwenye hall lkn liloandaliwa na shule kwa kusomea ( suala hili lilikuwa la mwanzo kumuuliza). Hawasomi kwa makundi bali wanajitegemea na hufika hadi saa 9.00 usiku ndipo huanza kulala na siku nyengine hupitiliza huo muda.Chakula cha jioni wanakula nini na saa ngapi, mazingira wanayosomea yana hewa ya kutosha, je anasoma mwenyewe au katika kikundi? Inakuwa aje mpaka asubuhi anabaki mezani, ana uhusiano wa aina gani na wenzake? Muulize hayo maswali, huna haja ya kunijibu mimi.
Doh! Nimemuuliza amenijibu kwa kujiamini kwamba hana tabia hiyo. Lkn unanifanya nifikirie mara mbili zaidi.95% AMEANZA TABIA YA NYETO, MIMI MWENYEWE NILISHAPATA IYO HALI MPAKA NIKAHISI NIMELOGWA KUMBE WAPI, NILIKUJA KUACHA NYETO NIKARUDI KWENYE HALI YANGU YA KAWAIDA, NYETO NI HATARI SANA KWA AFYA YA AKILI
Mkuu, kwa kuwa hii JF ni familia moja basi kijana wako wewe ndiye kijana wetu sisi.Kwa lugha hii hujanisaidia au kama hukunilenga mimi sawa.