Recent content by Muwahhid

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

    Kuna msemo mmoja wa kiarabu unasema "KHAALIF TU`URAFU wakimaanisha " NENDA KINYUME NA UTARATIBU ILI UFAHAMIKE " So na wewe ukitaka kuwa maarufu fanya kitu ambacho Wana JF wote watashtuka!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

    Wengi Wa wanaojisifia kwa kuishi Dar SIO WENYEJI au WAZAWA HALISI WA Dar.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anaushambulia mshahara wa mwezi

    Na hii "EID ELFITRI" inayokuja ni SHIDAAAA!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania TRA nimekoma sirudii tena

    "Mwaka mpya wa fedha.. Mh.....!!!"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    AHSANTE kaka!! Mimi nimejifunza mengi sana hapo. MUNGU AKUBARIKI!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Habari!!

    Ahsanteni sana kwa ukaribisho wenu Wana Jf
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya Advance, Private iwe ya bweni na yenye combination ya HGL

    Kama ni muislamu njoo KIRINJIKO ISLAMIC HIGH School, SAME-KILIMANJARO huku.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Habari!!

    Habari!! wakuu mimi ni mgeni humu ndani naomba mnipokeee, pale nitakapokosea naomba mnifahamishe. Ahsanteni!!
Back
Top Bottom