Recent content by muunganosadick1

  1. muunganosadick1

    Nimeshindwa kujua hichi kitu,wataalam nisaidieni kujua

    Jamani hiyo nini,bado sijajua,
  2. muunganosadick1

    Hii ndiyo CHADEMA: Lowassa ajiandae kujieleza mbele ya Kamati Kuu, akileta blah blah analiwa kichwa

    Habar wanajamvi,kitendo cha rowasa kwenda ikulu kinadhihirisha kuwa siasa si uadui wa kudumu,pia wafuasi yatupasa tushtuke maana viongozi wetu tunaowategemea kumbe wanawasiliana mambo yanaenda nyinyi huku mapovu yanawatoka,,pamoja na kwamba mbowe kasema si msimamo wa chadema,ila nina imani...
  3. muunganosadick1

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    Kinauzwa sh.ngapi hicho na je maeneo ya Ruvu darajani kinakamata?
  4. muunganosadick1

    Natamani kuolewa

    Huo ubaguzi,unataka mwenye degree,mhmmm
  5. muunganosadick1

    Jakaya Kikwete: Wanasiasa wa Upinzani wasichukuliwe na Serikali kuwa ni Maadui

    Kwakuwa Alisha staafu ndio anajifanya wapinzani wasibanwe..unafiki mtupu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. muunganosadick1

    Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

    Kumbe buku 3 ungempa tu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. muunganosadick1

    Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

    Ha ha ha haaa...yamekukuta nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. muunganosadick1

    Mbowe ina maana Wema Sepetu ana umuhimu mkubwa kuliko Ben Saanane?

    Chezea miss wewe,,mwanamke ana nguvu sana ktk kuvuta hisia Na haswaa akiwa mzur.
  9. muunganosadick1

    Kardinali Pengo: Watu wasisambaze chuki, Kanisa Katoliki haliendeshwi kwa ruzuku ya Serikali

    Wewe ni kiongozi wangu wa kiroho,ni kweli uliyoyasema,sheria anazovunja mbona hujamkemea??
  10. muunganosadick1

    Rais Magufuli adai yeye, Lowassa, na Kikwete, watakufa. Kwanini Lema anateswa kwa kauli kama hiyo?

    Sasa hiyo video alichozungumza kina ubaya UPI,?utalinganisha Na kauli ya Lema
  11. muunganosadick1

    Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

    Kwangu mm no.1 ni coda,no.2 halotel,hawa watu mm naona wako vizur
  12. muunganosadick1

    Separation of Powers: Waziri Mkuu Majaliwa atofautiana na Rais Magufuli. Nani mkweli, Nani muongo?

    Rais wala hajakosea,yeye ndio boss Na mwenye amri,wengine ndio wanafuata
Back
Top Bottom