Mungu wa mbinguni aufikie moyo wako na kuufariji,
Faraja ya vitu na watu n dhaifu mno.
Yeye n mfariji mkuu na mwenye nguvu kuliko chochote.
Upone,pole sana mtu wa Mungu.
I remember mama mmoja aliyepoteza watoto wake wote 6 kwenye ajali moja.
Ninafkiria moyo wake ulipondeka kias gan.
miamba sio ugonjwa,hvyo unaweza kutokea na usijue mapema.
Hasa kama n aina ya mwanamke ambaye period yake haielewek wakat mwngne inapta miez hajaona.
Homone zake hazireact changes mapema.
Wanawake wanatofautiana,mwngne wiki ya kwanza tu vitu vishaanza kuvurugka.
Hvyo mkuu hii INAWEZEKANA...
Kuna hekima kila mzazi anafaa kuwa nayo.
N wajibu wa kila mzazi kumsaidia mwanaye kukua kiakili na kiutendaji nje ya masomo.
Mtoto ukimtenga na anachosoma shule bado anatakiwa kuwa na kitu cha kumfaa maishani.
Utajiri wa kweli n generational yaan unakwenda vizazi na vizazi.
Hata hvyo mtoto...
Uzi huu n bora na WA kuthaminiwa sana.
Maisha ya uzeen yanataka maandalizi
Vingnevyo utakua n uzeen wa fedheha sana,uzee wa kuomba omba.
Tatizo wabongo wakifkiria uwekezaje wa miaka 20 mbele anawaza kufariki tu 😅😅
Anaona bora aztumbue leo leo,lkn hatujui kama ww ndio Mungu atakupa miaka 80.
Ndio n project ya kiroho
Pasipo maombi (msaada wa Mungu) n ngumu kuvumiliana na kusameheana.
Jifikirie vile ambavyo wewe unashindwa kuishi na wewe mwenyewe je utawezaje kuish na mtu mwngne
Vile unavyojikasrikia ukizngua😅
Nondo sana hizi mkuu wangu,
Tusisahau pamoja na hayo yote ambayo n muhimu.
Mafankio n mchakato,yanahtaji muda,uvumilivu,subra na wakati mwingine kujikana.
Ukuaji wa biashara yako unaenda sambamba na ukuaji binafsi wewe kama mmiliki,yaan kiwango chako cha ufahamu na maarifa.
Are you grow?
Hauwezi kwenda zaidi ya maarifa ulyonayo kuhusu unachofanya.
Mwingne akaenda mbali zaid kusema huwez kuwa zaid ya tabia yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.