Ndoa haitaki usanii

Ndoa haitaki usanii

Wakati mwingine maisha ya ndoa hayaitaji usanii hata kidogo maana ndoa ukicheza nayo lazima ikupwelepwete tuu.Kabla ya kuamua kuishi na mtu tafakari na ujiulize hivi niko tayari kupambana na changamoto zake usiwaze harusi tuu na kujaza watu ukumbini.Kikubwa mwamini na kumtegemea Mungu kwanza maana kwa akili zako huwezi.
Duuh
 
Kudumu katika ndoa kunategea maarifa ya mwanaume.Mtume pauo alisema ishi na mwanamke kwa akili.Mpende mkeo lakini beba madhaifu yake(isipokuwa uasherati) mtaishi hadi mwisho
 
Ndio n project ya kiroho

Pasipo maombi (msaada wa Mungu) n ngumu kuvumiliana na kusameheana.

Jifikirie vile ambavyo wewe unashindwa kuishi na wewe mwenyewe je utawezaje kuish na mtu mwngne

Vile unavyojikasrikia ukizngua😅
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom