Recent content by mutu murefu

  1. mutu murefu

    College Outfit Ideas for a New Student?

    Hahaha eti comfortable and stylish outfits for campus life.. watoto wa kishua bwanaa
  2. mutu murefu

    Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

    Swahaba wa kimatumbi katika ubora wake😁😁😁
  3. mutu murefu

    Freeman Mbowe, sijasikia kauli yako kuhusu mauaji ya watanganyika, wanachama "wako". Umeyafurahia mauaji haya? Hapana!

    Wabongo Bwana hawana jema, mlimtukana matusi yote kibaraka wa CCM, mwizi, mnafiki etc, jamaa akajiondoa na siasa ame focus biashara zake Mnakuja tena mnataka awasemee nini? Akikemea mtaaanza kumkejeli tena ni mnafiki kuwa miaka yote alikua wapi.. mtu kastaafu mwamcheni aendelee na mishe zake
  4. mutu murefu

    Ukifanya hivi, mpenzi wako atakutajia michepuko yake bila shuruti

    Na yeye atasema amezitengeneza kama wewe. Ngoma droo
  5. mutu murefu

    Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Apo mzungu angesema hawezi kuolewa na wewe na wazazi wake wamekataa ungekuja na povu hapa la ubaguzi, ila sisi wabongo ndo wabaguzi namba moja
  6. mutu murefu

    Mkesha wa kuamkia uchaguzi mkuu October 29

    Tukaua na nani? Usinijumuishe mimi kwnye politics zenu. Me sishabikii siasa zozote wala sina chama, hata chaumma au tesha wachukue nchi sawa tu. Hata wewe uwe raisi ni sawa tu kwangu Ninachokiongelea hapa ni memchagua siku ya uchaguzi kuandamana means mnawakosedha haki wengine ya kupiga kura...
  7. mutu murefu

    Mkesha wa kuamkia uchaguzi mkuu October 29

    Mnataka kuleta fujo kuharibu uchaguzi halafu mnataka wasitumie silaha. Mkitaka wasipate sababu ya kutumia silaha bas andamaneni kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Kuandamana siku ya uchaguzi lazma mpigwe kwa silaha za moto, ni
  8. mutu murefu

    Tukiwa tunaelekea mwisho wa windows 10, Hapa Tanzania hali ni mbaya, PC 9 kati ya 10 zinaenda kuitwa 'Potato PC' kwa kutokidhi vigezo vya Windows 11

    Jinsi jamaa alivowasilisha hoja its like PC zisizo na vigezo zitafungiwa. Hebu aseme clearly kuwa hazitapata updates basi, ila mzigo zinapiga kama kawaida
  9. mutu murefu

    Tetesi: Binti aitwaye Farida ametekwa

    Wabongo ni keyboard warriors, hio tarehe 29 hakutakua na maandamano wala nini Mnakumbuka kipindi kile, kelele kibao
  10. mutu murefu

    SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

    Si mnasemaga mbeya ni ngome ya chadumu
  11. mutu murefu

    Muulizeni Diamond Platinumz aliyewakodia Private Jet kwenda Nigeria walimlipa nini kama wao hawapewi pesa za bure? Aaache matusi kwa watanzania

    Eti niache kunywa pepsi kisa diamond😂😂😂😂 Mkuu tafuta pesa tu uache makasiriko
  12. mutu murefu

    Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Cuba gas ni 2000 kwa kilo moja
  13. mutu murefu

    Bila kuzungumzia Kupigwa Risasi kwa Lissu, Polepole hutaeleweka!

    Polepole target yake ni kumsafisha magufuli na kuwaangushia lawama wana mtandao Hata utekaji kipindi cha magufuli atasema ni wana mtandao walimhujumu mzee Bomu la mwisho analoliandaa ni hio kuhusu waliompiga risasi lissu, msala wanapewa wanamtandao. Maana watanzania saivi wameshasahau atawapa...
Back
Top Bottom