Mwezi wa sita mwaka huu zimechukuliwa pikipiki SANLG 1.5 MILIONI MWANZA.
KWA WIKI KIJANA ANALETA ELF 70.
SEHEMU NYINGNE ELFU 60.
HII SIO HADITHI SEMA HAPA NI PUBLIC SIWEZI LETA ZAIDI KAAA UNAVYOAMINI.
HII KAZI INALIPA.
Unamkata wa mwanasheria. Mashariti ya kuchukua ni Mali isiyohamishika na wazamini 2 wenye Mali. Pikipiki zote injin no uijue na pikipiki kuharibika sio rahisi ikiwa mpya. Hata ikiharibka baada ya Kama imetembea miezi 5 ukauza milioni sio mbaya.
Huu mradi unalipa.
Bira shaka mtakuwa hamjambo na kazi inaendelea vyema. Nimeamua kutumia ukurasa huu wa Jf kwakuwa ninaimani watu wengi walioko huku niwale wenye uwezo furani kifikra na kifedha.
Bila shaka unaweza kuwa na pesa lakini ukaitumia ovyo kwa Mambo yasiyofaa na hata kupoteza na kujitia baadae.
Leo...
Habari zenu wadau , Kuna ndg yangu mmoja anakituo Cha kulelea watoto lakini anahitaji kukiweka kiwe Cha mayatima na watoto wasio jiweza kusomeshwa na kupata mahitaji yao ya kimwili.
Hivyo Kuna nahitaji kumsapoti kumuombea misaada kwa ma- volunteers.
Tumejaribu kuandika maandiko lakni imegonga...
Wana jamvi habri zenu,
Mwenzenu nimeoa Mimi ni kifunga mimba kwahiyo Niko na Kaka zangu. Kuna Kaka yangu mmoja huwa ni afisa wa usalama kwahiyo kulingana nawao walivyo anaweza kukupigia simu anytime nakuanza kukugombeza haijarishi ni kitu kidogo au kikubwa, nimekuwa hivi kwa mda mrefu mwishowe...
Kwema wapendwa Kuna mtu anahitaji kuanzisha project ya kufyatua tofari na kuuza . Naomba kujua kwa niaba yake na wengine walio na wazo Hilo wajifunze.
Je biashara hii inachangamoto zipi, pia mtaji wake lakini Sana tujue Bei ya mashine huska.
Karibuni.
Habari za wakati huu na siku nyingi Wana JF , leo nimekuja na swali tofauti kidogo linalohusu makomando.
Nimeangalia movies nyingi Sana Tena za kivita zikiwa chini ya commando Rambo, Anord n.k mapigano yao yanasadiki yaliyomo kwenye hii kozi? Je ule upiganaji wao na jinsi ya kupambana na...
Kwa muda mrefu sasa tumesaidia watu wengi kupitia ukurasa huu. Pamoja na kuwa na majukumu mengine mengi lakini nimejitahidi mara kwa mara kuwa na muda kidogo kwa ajili ya jamii. Ilifika mahali kila mtu mwenye shida alielekezwa kwenye ukurasa huu. Japo hatukuweza kusaidia wote lakini tulijitahidi...

Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa.
Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha.
Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.