Makomando tuwaonao huko kwenye movies ndio hao wanaopatikana kwenye mazingira halisi ( jamii )

MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
34
125
Habari za wakati huu na siku nyingi Wana JF , leo nimekuja na swali tofauti kidogo linalohusu makomando.

Nimeangalia movies nyingi Sana Tena za kivita zikiwa chini ya commando Rambo, Anord n.k mapigano yao yanasadiki yaliyomo kwenye hii kozi? Je ule upiganaji wao na jinsi ya kupambana na majambazi au waasi ndivyo huwa wako hivyo?

Napenda kujua je kila nchi huwa inastahili zake au wote mfumo ni huohuo tu?

Nawasilisha.
 
Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
4,028
2,000
Movie zinazidisha nje ya uhalisia ili ipate mauzo na kuvutia, huwezi Kupigana na watu zaid ya 15 kwa wakati mmoja na wengine wana silaha za moto alafu uwawahi wote kuwanyang'anya bila kukutandika risasi huku ww ukiwa hauna silaha.
Ni Mara kadhaa movie zimekua zikionyesha matukio ya staili hiyo ambayo siyo uhalisia.
 
Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
879
1,000
HAPA NDIO "MSALA" ULIPOANZA.

images (5).jpeg
 
Ndombwindo

JF-Expert Member
Nov 23, 2013
879
1,000
Movie zinazidisha nje ya uhalisia ili ipate mauzo na kuvutia, huwezi Kupigana na watu zaid ya 15 kwa wakati mmoja na wengine wana silaha za moto alafu uwawahi wote kuwanyang'anya bila kukutandika risasi huku ww ukiwa hauna silaha.
Ni Mara kadhaa movie zimekua zikionyesha matukio ya staili hiyo ambayo siyo uhalisia.
Hajui kuwa movie hufuata script.
 
Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
879
1,000
😁😁 Dogo akaenda choma utambi, wazee wa makobasi hawakulaza damu.
Asikwambie mtu, pale kama ulipita kwa "Baba kanituma" utarudi unaimba "Mama yoyoyoooo"

Moja ya movie kali sana zinatoa walau mwanga kwa kile askari wetu hukifanya/hupitia katika uwanja wa medani.

Btw, how are you bro Vishu?
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,077
2,000
Asikwambie mtu, pale kama ulipita kwa "Baba kanituma" utarudi unaimba "Mama yoyoyoooo"

Moja ya movie kali sana zinatoa walau mwanga kwa kile askari wetu hukifanya/hupitia katika uwanja wa medani.

Btw, how are you bro Vishu?
Kabisa mkuu.

Niko poa mkuu, hofu kwako.
 
Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
879
1,000
Movie gani hii?
Mi sijuagi majina ya movie,nacheki action zikikaa ki- cocastic kokastic natoa, ikikaa vizuri naangalia mpaka mwisho.

Ila hiyo itakuwa inaitwa, duuh mimesahau kidogo lakini ukiingia Google au Netflix utaipata

Au waulize na wadau inaitwaje mm kiukweli sio mtaalamu sana wa majina ya movie Kaka.

Am sorry
 
Larry barrice

Senior Member
Sep 17, 2021
114
250
Asikwambie mtu, pale kama ulipita kwa "Baba kanituma" utarudi unaimba "Mama yoyoyoooo"

Moja ya movie kali sana zinatoa walau mwanga kwa kile askari wetu hukifanya/hupitia katika uwanja wa medani.

Btw, how are you bro Vishu?
Angalia movies ya strike back,12 strong, hokesridge, jihad1and2, the seal team, ndio zina uhalisia wa vita zilivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom