Je, kupitia mtandao wa GoFundMe naweza pata msaada?

Je, kupitia mtandao wa GoFundMe naweza pata msaada?

MusuKuma

Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
33
Reaction score
87
Habari zenu wadau , Kuna ndg yangu mmoja anakituo Cha kulelea watoto lakini anahitaji kukiweka kiwe Cha mayatima na watoto wasio jiweza kusomeshwa na kupata mahitaji yao ya kimwili.

Hivyo Kuna nahitaji kumsapoti kumuombea misaada kwa ma- volunteers.

Tumejaribu kuandika maandiko lakni imegonga hewa.

Je kwa kupitia huu mtandao wa GoFundMe unaweza kutoa sapoti?

Msaada kwa Yule aliyewahi fanya hivyo au mwenye ujuzi.

Asante.


Screenshot_20211108-220207.jpg
 
Back
Top Bottom