Recent content by Mussa_hassan

  1. Mussa_hassan

    Hisia mbili zinazowatesa sana wanaume

    Binance Mining Just Deposited $2,900 in My Account – Here's the Proof https://barryprimary.com/northants/primary/barry/site/pages/aboutus/termdates/CookiePolicy.action?backto=https://earn-binance-mining.blogspot.com Turning $100 into $79,500: The Binance Dual Mining Method...
  2. Mussa_hassan

    Kwa anaeuza Akaunti ya playstore

    Sio hivo tu hawa jamaa hizi account wakizinunua wanaenda kuzitengenezea apps ambazo si nzuri kwa walaj ikiwemo app za ku iba na kaz sasa kinacho fanyika hata account ikifungwa yeye hapat hasara sana ila hasara ni kwa alie uza account manake htoweza kuja kumiliki accoun tena playstore. Unless...
  3. Mussa_hassan

    Kufungua forum inagharimu fedha kiasi gani?

    Boo Hii kitu unazan ina shida bas kufunguaa. Ata sio shida Ata kuwapata watu sio shida. Shida ipo kwenye kumanage server Hapo ndipo kazi ilipo Pesa ya kumanage server itakayo tunza haya ma messej yote na iwe na nguvu ya ku handle milions of sms per secend. Hapa ndo huwa pagumu. Ukiwa na hii...
  4. Mussa_hassan

    Kizuri kula na wenzio!..Achana na Admob piga Facebook ads

    Dah ngoja nibadili tu upepo maana niko na research hii admob nimeona maraia wana sema hizo kitu. Ngoja niwachek facebook.
  5. Mussa_hassan

    Namna gani naweza tumia Google Adsense kuniingizia kipato

    Yaan hivi AdSense kweli kuna watu hapa bongo wana print ata laki kwa siku? Maana nimesoma wanavo lipa nimechoka.hhh Au ni mimi ndio sijaelewa. Maana nimeona kwa click 1000 wanalipa 0.1usd Hii ina maana ili uingize laki kwa siku unatakiwa upate click 500000. Kwaiyo kwa siku kama ni blog...
  6. Mussa_hassan

    Biashara ya fedheha iliyonitoa kwenye umasikini

    Aaaah. Yaan jamii forum sometimes unapoandika mada humu inabid uwe strategic sana. Hahaaahaa. Yan uzi ukiwa na loophole tu wata critisize sana wana
  7. Mussa_hassan

    Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

    Dah hii mm ilinikuta sana.hahaa mimi kiukwel na robo zaif sana. Na vile na kaumbo kadogo bas vyanafunz vya kike vilikuwa vinaniona kama mwanafunzi mwenzao. Mpk vilikuwa vinanitongoza kabsa. Ila dah, nili feli kias kiduuchu. Lakin nakushauri uoe mapema. Vinginevyo 30 itakuhusu.hahaaa
  8. Mussa_hassan

    KOCHA wa ARSENAL, Mikel Arteta amesafiri kwenda Amerika kukutana na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke

    KOCHA wa ARSENAL, Mikel Arteta amesafiri kwenda Amerika kukutana na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke huku akiwania kusajiliwa kwa wachezaji wapya. Habari hii imedhaminiwa na dar racing game. Kwa wale wapenzi wa kucheza android game tembelea link hii hapa chini kwa kuibonyeza...
  9. Mussa_hassan

    Wapenzi wa android game tukutane hapa

    Ios na window itapatikana soon kupitia website yetu www.drugentertainment.com
  10. Mussa_hassan

    Wapenzi wa android game tukutane hapa

    Kama wewe ni mpenzi wa androud games. Sasa tuna android game mpya ipo inapatikana playstore. Unaweza download bure kabisa uka enjoy time yako, Chakufanya bonyeza link hii hapa chini kwenda playstore kudownload game hii...
  11. Mussa_hassan

    Man U kuisaka saini ya Antonio Rudiger

    Beki wa Chelsea Antonio Rudiger anaonekana uwezekano wa kuondoka klabuni hapo bure msimu wa joto, kwani ameshindwa kukubaliana na mkataba mpya. Rudiger, 28, anaripotiwa kutaka kiasi cha pauni 220,000 kwa wiki kusalia Stamford Bridge, huku ofa ya klabu hiyo ya pauni 140,000 kwa wiki kurekebisha...
  12. Mussa_hassan

    Kenya kuja na mabasi yanayotumia umeme

    Opibus, kampuni ya teknolojia ya Uswidi na Kenya ambayo inaunda, kuendeleza na kusambaza magari ya umeme yaliyoundwa kwa ajili ya Mwafrika imezindua basi la kwanza la umeme nchini Kenya na vile vile basi la kwanza la Kiafrika la umeme kuwahi kutokea. Habari hii imeletwa kwako kwa udhamini wa...
  13. Mussa_hassan

    Matajiri wa Forex mnaendeleaje?

    Kwaiyo tuseme hili ndilo jibu la alie uliza swali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. Mussa_hassan

    Matajiri wa Forex mnaendeleaje?

    Binafs forex ndio.biashara yangu inayo nisaidia kuish mjini ukizingatia ajira nilio ajiriwa ni ya kutokaa sehem moja mda mrefu. Inainua sana nyakat ngum
  15. Mussa_hassan

    Connection ya Korosho nje ya Tanzania

    Hii biashara bn, duh nzuuri sana. Ila ithink uwapate madalali wazoefu mzigo unateembea faster. Nimehudum kwenye kiwanda cha korosho nimeona hii biashara vzr. Kuna network ya madalali wanawajua wazungu karb wote [emoji1787]. Ukiwadaka hawajamaa mzigo n siku tu unaisha wote. Ila sasa,inabid uwe...
Back
Top Bottom