Man U kuisaka saini ya Antonio Rudiger

Mussa_hassan

Member
Oct 6, 2017
51
41
Beki wa Chelsea Antonio Rudiger anaonekana uwezekano wa kuondoka klabuni hapo bure msimu wa joto, kwani ameshindwa kukubaliana na mkataba mpya.

Rudiger, 28, anaripotiwa kutaka kiasi cha pauni 220,000 kwa wiki kusalia Stamford Bridge, huku ofa ya klabu hiyo ya pauni 140,000 kwa wiki kurekebisha Agosti iliyopita ikiripotiwa kumkasirisha mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani.

Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich zote zimekuwa zikihusishwa na Rudiger, lakini Man United sasa wanaweza kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho, kwa mujibu wa Marca, kwani meneja wao wa muda Ralf Rangnick ana "uhusiano mzuri" na wakala wa nyota huyo Sehr Senesie.

Wakati tukiendelea kusubiri rumor hizi
Unaweza tembelea link hapa chini ku download

Dar racing game iliyo tengenezwa hapa hapa bongo na ukaenjoy na wana
Click link hapa chini kuingia playstore

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom