Alafu miadi jioni kwanini uende sehemu hujala shuhulini kunapikwa watu wanaenda wamekula inakuwaje we uwende kwenye miadi kukutana namtu bila Kula kulakwenu hali sio shwari tuoneane huruma
Ukija kwangu njaa utakula kasavaa najua hutokula sana mmja tu utaomba kunawa maji.
Dah, hili but tatizo sugu, kiukwel si sahihi kuacha mswaki toilet kwasababu za kiafya. Mm binafsi mswaki wangu unaishi kabatini kwangu kweny droo ndogo hivi siamini mazingira ya chooni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.