Beautiful Nkosazana
Senior Member
- Oct 4, 2016
- 176
- 660
Okay Mr. GeniusGreat thinkers discussing toilets. Shitholes and shit.
I pity you
Okay Mr. GeniusGreat thinkers discussing toilets. Shitholes and shit.
I pity you
mkuu haya maisha unayo yazungumzia hapa nikwa watanzania wote ml.50 au ??actually maisha yamebadilika sna! zama hizi si kama zile za zamani, ukiona unawaza mambo hayo basi jua wewe upo zama za zamani na unaishi nyumba za kizamani sna
maisha ya sasa yamebadilika! choo sasa hivi hakiitwi choo tunaita 'wash room', saivi unaingia chooni unajisaidia hata ukiiacha uchafu juu, husikii hata harufu yaani imekuwa automatically absorved! sasa unashangaa sembuse mswaki kubaki bafuni
now kuna 'hanger' mpka za kuweka mwaki na kuseparate miswaki zaidi ya mitano bila kusababisha 'contamination'! now wenzako mabafu na vyoo ni visafi mpaka anaweza kulia chakula wewe bado upo mika 47 nyuma.
View attachment 702496
Wakuu, habari za wakati huu. Bila shaka wote mu wazima na mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa.
Wakuu, hivi hii tabia ya baadhi ya watu kupenda kuacha miswaki yao kwenye vyoo ama mabafu yanayotumiwa na wengi, ni ustaarabu kweli huu wakuu?
Unakuta nyumba ni self contained, ndani kuna vyumba vinne vya kulala, wanaishi watu kama 8 ama 9, they all share the same bathroom and toilet lakini ukienda unakutana na miswaki ya watu.
Unamuamini vipi mwenzako anayeingia kule bafuni ama chooni? Unajua anafanya nini na ile miswaki kwa bahati mbaya ama makusudi?
Hii tabia imeshamiri sana katika kaya nyingi sana amabazo nimewahi kuishi (ndugu, jamaa na marafiki) ndio maana nikaona ni vyema nilete hii suala hapa wakuu tulijadili sote kwa pamoja.
Hili jambo ni sahihi ama si sahihi wakuu?
WENGI WENYE TABIA HII WATASOMA BILA KUWEKA COMMENTS ZAO HAPA
HahahahahaKuna muvi niliwahi cheki, jamaa anaingia bafuni anachukua mswaki wa mpangaji mwenzake anabrashia viatu.
kwa sababu unavaa wiki nzima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]afu ndo Tania yangu,chupi kwenye kamba peupee na nisivyojua takatisha katikati
Si kuna vifuniko vya miswaki? Daima tumia kifuniko cha mswaki ili kuepuka hayo uliyoyasema.
ha ha haaaa,yaan!!!kwa sababu unavaa wiki nzima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mbona unaingia chooni na mdomo wako? Kipi chenye thamani? Mswaki au mdomo wako?