Recent content by Mussa Loth

  1. M

    Entitlements za WEO II na watumishi wengine

    Subsistance allowance for 7days 65,000x7= Transport No.of Km from Place of domicile/recruitment x 1000 x 3tone= (please see standing order 2009 third edition) It was previously 14days subsistance allowance but it has been amended as above.
  2. M

    Orodha ya madaktari na maeneo wanayosali/abudu

    Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo...
  3. M

    Rais kufanya maamuzi kwa maslahi ya umma

    Katka sheria nyingi zilizotungwa na Bunge, pamoja na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,baadhi ya ibara katika katiba na baadhi ya vifungu vinampa mamlaka Raisi kutekeleza baadhi ya maamuzi kwa maslahi ya Umma. Naomba kufahamisha mahali popote ambapo naweza kuyapata maslahi ya Umma...
  4. M

    Hotuba ya raisi kwa walevi na wavuta sigala wa tanzania

    RAISI KUFANYA MAAMUZI KWA MASLAHI YA UMMA Katika sheria nyingi zilizotungwa na Bunge, pamoja na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,baadhi ya ibara katika katiba na baadhi ya vifungu vya sheria vinampa mamlaka Raisi kutekeleza baadhi ya maamuzi kwa maslahi ya Umma. Naomba kufahamishwa...
  5. M

    Hotuba ya raisi kwa walevi na wavuta sigala wa tanzania

    RAISI KUFANYA MAAMUZI KWA MASLAHI YA UMMA Katka sheria nyingi zilizotungwa na Bunge, pamoja na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,baadhi ya ibara katika katiba na baadhi ya vifungu vinampa mamlaka Raisi kutekeleza baadhi ya maamuzi kwa maslahi ya Umma. Naomba kufahamisha mahali popote...
  6. M

    CCM: Jembe na Nyundo ni alama sahihi kwa nyakati?

    Kwa wakati tulionao huu wa sayansi na technolojia tunatumia zana bora na za kisasa,kuna fani nyingi kama wafanyabiashara,wajasiriamali,wakulima,wafanyakazi n.k Kila alama ya taasis,shirika au chama inaashiria filosofia Fulani. Sasa naomba kufaham filosofia ya jembe na nyundo pamoja na rangi...
  7. M

    Ubadhilfu katika halmashauri za wilaya unaofanywa na wakurugenzi wa halmashauri ni moja ya mafanikio

    MAELEZO YA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM-TAMISEMI) Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, baadhi ya mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na:- • Kuweka misingi na kuongeza kasi ya kupeleka madaraka kwa wananchi kwa maana ya madaraka ya...
  8. M

  9. M

  10. M

    Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma IFUTWE/IVUNJWE

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 132 imeweka msingi wa kuundwa kwa Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma na kwamba Ibara ya 70 kuwasilisha taarifa ya mali na kifungu cha 71 kinataja sababu za kukoma kuwa mbunge kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya Maadili ya Viongozi...
Back
Top Bottom